Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,737
Reaction score
165,197
Ukweli kuhusu Kiongozi huyu Wa wanyonge TARATIBU unaanza kudhihirika , Chato hapa,Punda wakipata Huduma ya traffic lights
IMG_20170626_233105.jpg
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?
Kwani za Richmond ni za lini?
 
Pinda ndiyo magari ya huko Msigwa anastaajabu ya muda basi atayaona ya firauni
 
Msigwa=Ni mtu anaye sengenywa kwa kisukuma, maana yake wakati anazaliwa walimpatia jina la kisengenyaji na ndiyo maana usengenyaji na unafiki na uongo ni jadi yake, na diyo maana alikimbia hata kuhubiri kwa sababu alikosa waumini kwa sababu ya kusengenya kwa sababu yeye ni msengenyaji.
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Kwani magufuli sio fisadi? uliza wanaomjua vizuri
 
Dikteta uchwara kachota bilioni 100 bila idhini ya Bunge na kwenda kujenga traffic lights Chato!

I wish I could be Minister of Finance & Speaker of the parliament.
Mbeba mabox za siku nyingi??
 
Huyu huyu alisema atakae mpigia Lowasa kura apimwe akili...........inabidi akapimwe akili huyu jamaa
 
Back
Top Bottom