Lazima kuwe na flows of traffic. Kazi ya traffic lights ni ku-control hizo flows ili kuepusha ajali na congestion ambazo zita-hamper movements.
Sasa kwa hapo Chato, kuna traffic kweli ya kuhitaji traffic control system?
Siyo Dar tu, hata Ulaya na Marekani, ambako kuna best traffic lights control systems, kuna nyakati traffic policemen utumika. Haswa nyakati za rush hours, ama kama kuna special events/incidences ambazo automated traffic control haiwezi kuwa effective/feasible.
Unaelewa maana ya traffic kweli? Traffic inamaanisha "The
aggregation of
things (
pedestrians or
vehicles)
coming and
going in a
particularlocality during a
specified period of time"
Sasa itakuwa ni maajabu wa Millennia kuweka traffic light control system kwa ajili ya pedestrians na baiskeli tu! Maana Chato hakuna hiyo aggregation ya vehicles, yenye kuhitaji kuwa na automated traffic control system.
Yaani hapo Chato kuna waenda kwa miguu na waendesha baiskeli maelfu mpaka wahitaji kuweka traffic light ili ku-control movements zao? Mbona watu mnajitoa ufahamu hivi ili tu kumtetea mtukufu?