Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Ulitaka wafanye nini kama wako jela. Wananchi tunawaona na tutawageuzia hicho kipigo. 2020 njoo haraka
 
Salary Slip utachanganyikiwa, ukikaa kimya unapungukiwa na nini ?
Kila kukicha ni thread kha!
Ina onesha hata thread zingine haufikirii katika uandalizi wake, wewe una post tu duh!
Mie naona ni story kwa sababu taa za kuongozea magari huwekwa sehemu zenye magari mengi au msongomano wa magari. Sasa hakuna magari mengi, kuna punda huoni kuwa ni story. Waulize waandishi wa habari watakueleza. Mbwa kumuuma binadamu si habari, bali binadamu kumuuma mbwa meno ni habari. Wewe unaishi dunia gani?
 
Sasa hivi upinzani ni vijembe na sio hoja tena.!
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Nadhani hapa tofauti ni tafsiri tu, still hili la Chato na traffic lights nao ni ufisadi tu, na wala haiwezi kuwa ni hoja ya kupitisha siku kama tunataka kuwa wazalendo!
 
[HASHTAG]#Chattle[/HASHTAG] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Mkuu hua nakuona kama mtu anaejua kujenga hoja kumbe hamna kitu kabisa. Unasema hoja ya trafic light ni hoja ambayo imekuwepo toka uchaguzi na watu wamekua waki-recycle hoja lakini wewe humu kila siku unazungumzia ufisadi wa richmond na Lowassa, je hizo ni tuhuma za jana?

Mkuu nimekutoa akili kabisa. Sitaki kuamini kua uwezo wako wa kufikiri unashuka kwa kiwango hicho.
 
Huyu jamaa hana tofauti kubwa sana na akina Kikwete. Only difference ni kwamba kawabana wezi wengine wote na amebaki kutamba peke yake, huku ''akichukua'' fedha kadri anavyotaka bila bugudha. Unaanzaje kwenda kujenga Uwanja mkubwa wa Ndege nyumbani kwenu bila hata chembechembe za aibu?
 
Hivyo vitaa viliosimamia chuma ni shilling ngapi? Mie naona hata milion 20 havili hivyo vitaa vinavyobebewa bango
 
Tuko tayari kushirikiana na yeyote anayeweza kusaidia chochote kitakachowezesha kung'oa ccm madarakani .
sio kwamba ccm haiwezi ng'oka,ila ing'ooke aingie nani?!..ccm itatawala kwa uhakika ndani ya miaka 30 ijayo
 
Back
Top Bottom