Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

Si vibaya kama ungetujuza pia kama kale ka-rambirambi ka mama mwangosi umekawasilisha.
 
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

Wewe kichaa wa uk ukiamka tu cdm. Utakoma mwaka huu bila cdm ungeshakufa kwani ungeshindwa la kuongea. Shukuru cdm wanakufanya unaenda choo
 
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

ww kilaza unamaaanisha wakurya...
 
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.

ha ha ha yani wewe dada unanifurahisha sana, hueleweki leo uko huku, kesho kule, na keshokutwa kwingine ila sishangai sana au ndo hivyo kwakuwa nature yenu hamnaga permanent lv! atakayekuimbisha vizuri ndo huyo huyo.
 
ht mandela alifungwa 27 yrs ndo ukombozi ukapatikana afrika kusini so mcjari ukombozi 2015 is on the corner
 
Bro.Chris Lukosi Nasubiri uwapeleke hawa watu wanaokutukana mahakamani kama ulivyohaidi katika moja ya post siku si nyingi zilizopita.

au sivyo....utaniaminisha kwa kinachosemwa humu ndani...
 
Hivi sasa angeanza kujenga kanisa lake,kuanzia 2015 apate pakupatia sadaka zake,mjengoni harudi huyo
 
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

hivi kanda ya ziwa iko kaskazini, kuna vilaza humu.
 
Ninachojifunza hapa ni kuwa,CCM wanafanya vurugu halafu CDM ndo wanakamatwa.Haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya umma vinavyotakiwa kutenda haki sawa kwa wote.Hivi ni lini polisi watabadilika ili kujua wanajenga mazingira ya chuki kwa wananchi?.Au hawajui wanaishi kwa kodi za wananchi bila kujali chama?.Je,hawajui CCM itapita,na siku moja watajibu mbele ya sheria nguvu hizi wanazotumia?.Wao wanafiri wanawatisha wananchi,lakini nawaambieni,wanawapa ujasiri zaidi kudai haki zao zinazoporwa mkoloni CCM.
 
teh teh, mkuu hujui kuwa polis wanapokea order zao toka kwa wakubwa wa ccm?
 
Back
Top Bottom