Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu
Mbona walipojkuwa wanamlinda padri slaa hamkuwaita poliCCM huko Kigoma? Leo ndo wamekuwa wabaya? Acha ukinyonga wewe, tumia akili kabla ya kuandika, usikurupuke.
 
msigwa mbaroni: Polisi iringa inamshikilia mbunge wa iringa mjini, mch. Peter msigwa, ahusishwa na vurugu katika kampeni za udiwani kata ya nduli jioni hii.source mwananchi

hivi kwanini chadema mnatamani nchi yetu kuwa kama sudani?

Hivi kwanini mnapenda vurugu alaf wafanya vurugu ni wale wale?

Watanzania nawaomba msiruhusu watu kama hawa kwenda ikulu.
 
Hawa watu wanataka na sisi tuwe kama hawa watu
1510718_10202452914258468_1768354213_n.jpg
 
hivi kwanini chadema mnatamani nchi yetu kuwa kama sudani?

Hivi kwanini mnapenda vurugu alaf wafanya vurugu ni wale wale?

Watanzania nawaomba msiruhusu watu kama hawa kwenda ikulu.

Mkuu umequote kwenye thread yangu kama unaniambia mimi Huu uzi nimeuleta SINA CHAMA
 
Mungi ataka apande cheo kama kamuhanda. Nawaambia chadema ikichukua nchi kuna watu watakimbia nchi walete utani. Na watuuwe tu ieleweke moja. Nawachukia sana polic, Heri kufa kuliko kucheka na hawa jamaa.
 
nimekugusa mkuu
kaongeze elimu uepukane na manyanyaso ya kuamriwa amriwa na wakubwa wako

Mbona walipojkuwa wanamlinda padri slaa hamkuwaita poliCCM huko Kigoma? Leo ndo wamekuwa wabaya? Acha ukinyonga wewe, tumia akili kabla ya kuandika, usikurupuke.
 
na wewe mkuu ulikuwa afande wa lile jeshi letu linalopenda rushwa na manyanyaso
hebu tuambie elimu yako ya form four ulipata ngapi?
nadhani nimwagusa wengi
jeshi la polisi waache kuchukua waliofeli lichukue cream ili kujenga nidhamu na heshima kama nchi za wenzetu.

Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba
 
hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu

Lokisa! Naona unashusha verse za kufa mtu. Kea hyo kamaaisha yao duni ndo iwe mwiko kumkamata mhalifu? Au kwa kuwa mbunge wa CDM?

Halafu hao unaowadharau kiasi hicho lini wamekuja kwako kuomba chumvi, unga, nyama na vitu vingine ili waishi?

Hebu tuwekee mshahara wako tuone kama unatofauti na kada nyongine za serikali.
 
hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu

Lokisa! Naona unashusha verse za kufa mtu. Kea hyo kamaaisha yao duni ndo iwe mwiko kumkamata mhalifu? Au kwa kuwa mbunge wa CDM?

Halafu hao unaowadharau kiasi hicho lini wamekuja kwako kuomba chumvi, unga, nyama na vitu vingine ili waishi?

Hebu tuwekee mshahara wako tuone kama unatofauti na kada nyngine za serikali.
 
Back
Top Bottom