Mkuu, nashani wewe ndo umevurugwaumevurugwa wewe!
Huyu Msigwa amalizie kipindi chake salama ....
hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.
Mini Kabaaaaaaaang!Itakuwa kuna kaburudani wanapewa huko sero, sio bure! hata LEMA anapapenda sana.
Huyu Msigwa amalizie kipindi chake salama ....
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.
Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention
Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...
Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba
Mawazo ya kitumwa haya, sijui hadi lini mtaendelea kutumika kama tishu pepa kutwa kusafisha tupu za wakubwa.