shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.
hayo tunayategemea sana kuelekea uchaguzi lakn haitawasaidia ccm!!!! kichapo kipo pale pale tu!
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.
Hahahhahahhahahahaaaaaaaaaaaaa!
Mkuu umesababisha nifunge ofisi nikalale , umeishanikamilishia siku yangu bro....
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.
Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi
Hahahhahahhahahahaaaaaaaaaaaaa!
Mkuu umesababisha nifunge ofisi nikalale , umeishanikamilishia siku yangu bro....
Wamshughulikie sawa sawa mhuni yule
Hata kwa avatar yako inaonyesha unavuta ganja toka utotoni, hiyo bulungutu utapata wapi zaidi ya kujipa high kama Jah People.Nikija kuwa na hela kama bill gates nitaamuru madokta wamkamate Chris Lukosi kisha wapime ubongo wake kuona ni kiasi gani cha ujinga alichonacho maaana.....hata simuelewi
Nikija kuwa na hela kama bill gates nitaamuru madokta wamkamate Chris Lukosi kisha wapime ubongo wake kuona ni kiasi gani cha ujinga alichonacho maaana.....hata simuelewi
Chadema ni genge la wahuni
hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu
Nilijua kakamatwa kwa zile tabia zake za wizi wa kuwaibia wajane pesa za pole wapewazo na kupitia mikononi mwake.
Hebu fikiria mchungaji anaingia kanisani akiwa ananuka harufu ya sero??Msigwa anahis ataonekana mpambanaji wa kweli kwa kwenda sero kila cku! Ni upuuzi tu alionao huyu mbunge.....
Nachukia siasa zisizo na ustaarabu wala staha! Udiwani unasababisha hayo, ubunge na urais itakuwaje?