Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Sheria ya kuzidisha muda ingezingatiwa pande zote si mkuu wa nchi angeshafia jera. Nakumbuka pale Nyamisati hadi alifuatwa na helicopter ya polisi baada ya kuzidisha muda hivyo kushindikana kusafiri usiku. Try to think ni mazingira gani yanawafanya watu wazidishe muda na suala hilo lina impact gani? CCM imekuwa ikizidisha muda katika kampeni nyingi sana mbona hamsemi hizo?
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba
 
MSIGWA MBARONI: Polisi Iringa inamshikilia Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa, ahusishwa na vurugu katika kampeni za udiwani Kata ya Nduli jioni hii.source mwananchi

serikali inamkono mrefu..
 
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba

then you dont know mandela au hujasoma hata vitabu vyake
 
Walianza wao mambo ya kupiga watu sasa wanapewa kibano mpaka wanatoka magamba! Kule Simiyu mzee Kasulumbayi ameshawashikisha adabu. Polisi nao dawa yao tutaipata. Mungu yupo upande wetu!!!
 
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

Umevurugwa mpaka basi au ni rambi rambi za mwangosi?kabila ra, bira, ndo unamaanisha nini? Na aliekuambia wanapenda vurugu ni nani? Mwigulu au?
 
Yaani bado wapuuzi ni wengi jamani vijana wenzangu tusipotoshwe na vijana wenzetu ambao baba zao wamefaidi nchi hii au ni mambumbu hawajui tuendako wap ni wap wajinga wanaofaidka na nchi hii wanafurahia kushikiliwa kwa msigwa
 
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba
Mm siyo mwanasiasa ila kabla ya kuingia hapa jf nlifaham habar za Lukosi kupitia blogs mbalimbali juu ya kazi zako huko majuu na nilipenda sana ujasiriamali wako ila sema sjapendezwa sana na namna unavo post hapa jf. Unaweza baki na heshima yako mwagito km utakuwa unaweka post za kiutu uzima na busara ili nasi tujifunze toka kwako. Uwuvaha mugoda mtwa! I may be wrong kaka bt am clear and I stand to be corrected!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
hata wakimkamata haisaidii.magamba lazima yapukutike tu.
Mh Msigwa tupo nyuma yako pamoja daima.
 
Viongozi wa chadema bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi

Msigwa ni tamu chungu yako anafanya makubwa kiasi cha kwamba amefunika hata ndoto zako za kupeleka magari ya kusomba taka june 2013 matapeli ya kisiasa utayajua tuu
 
Mm siyo mwanasiasa ila kabla ya kuingia hapa jf nlifaham habar za Lukosi kupitia blogs mbalimbali juu ya kazi zako huko majuu na nilipenda sana ujasiriamali wako ila sema sjapendezwa sana na namna unavo post hapa jf. Unaweza baki na heshima yako mwagito km utakuwa unaweka post za kiutu uzima na busara ili nasi tujifunze toka kwako. Uwuvaha mugoda mtwa! I may be wrong kaka bt am clear and I stand to be corrected!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Asipotukana tukana hivyo ccm hawamlipi, ili aonekane na ccm lazima aitukane CHADEMA, Alivyoondoka CHADEMA na akili zikamkimbia, njaa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom