Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Jibu swali nakuuliza kwa umri wako huo ni lini umewacha kuchapwa?
Naona ninyi wapenda kuchapwa mpaka mmeamua kujenga Ukuta wa kushika ili mchapwe nao vizuri..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Peter Msigwa yupo sahihi kama Mtukufu anatakiwa kuuza kwanza ile Ikulu kabla kuuza hizo nyumba nyingine yeye ana uzoefu kwenye kuuza nyumba za kuuza nyumba za serikali
 
Naona ninyi wapenda kuchapwa mpaka mmeamua kujenga Ukuta wa kushika ili mchapwe nao vizuri..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi wewe ni lini umewacha kushika ukuta?
 
Nyie ndio mnahanya hanya tusiwashikishe ukuta
Saaa si ninyi mmekuja na Ukuta tayari mmeushika.. wacha tuwachapieni hapo kwanza msikilizie starehe ya kuchapwa nao wakati mnajiuliza hivi ilikuaje mkaingia choo cha kiume wakati ninyi ni jinsia ke..
 
Inaelekea wewe ni bingwa wa mkorogo
Ni kweli kabisa mkuu

Unataka nikuuzie??

Ila mkorogo wa maneno kama wakwenu mi sina wala siuzagi..

Hauna wateja kabsaa...
labda mateja na machangu kama ninyi mnavyowauziaga..
 
Ni kweli kabisa mkuu

Unataka nikuuzie??

Ila mkorogo wa maneno kama wakwenu mi sina wala siuzagi..

Hauna wateja kabsaa...
labda mateja na machangu kama ninyi mnavyowauziaga..
Naona size yako ni itigi pale msamvu
 
Umepotea njia! Mada hoja iliyopo ni msigwa kutaka rais auze ikulu kwanza, hilo la maandamano sijaliona, au labda unaweza kutuonesha wapi mwandishi amegusia suala la maandamano?
Bora mwenzio kapotea njia ila bado yupo barabarani.. wewe mwenzetu umeingia chaka mazima, pori msitu mnene na huna pakutokea wala pa kurudia..

Ujumbe kwa njia ya picha unawakilisha meneno zaidi ya elfu moja..
 
Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu?

1469858490819-jpg.373214

"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
1469895462860.jpg
 
Bora mwenzio kapotea njia ila bado yupo barabarani.. wewe mwenzetu umeingia chaka mazima, pori msitu mnene na huna pakutokea wala pa kurudia..

Ujumbe kwa njia ya picha unawakilisha meneno zaidi ya elfu moja..
Neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema sana.
 
Naona upo sokoni
Ndio mkuu nipo sokoni nauza na kununua...

Tukuuzie nini kingine.. naona product yetu ya Mvi Nyingi imekukuna kweli kweli, kiasi unaulizia kama tuna nyingine tukuuzie...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahaha hiyo ndio ilikua master copy, tumieni hiyo hiyo kufyatua wataalamu zaidi wa ufisadi kwa ajili ya kujimaliza kwenu..
 
Naona umetoka juzi sengerema, hawajambo huko?
 
Naona size yako ni itigi pale msamvu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kweli mtaalamu...
Umezungusha mikono mpaka umegundua..
Bado kidogo utahamia kuzungusha kichwa na makalio... mnangoja mwenyekiti aseme ""zungushaa"" na nyie mnazungusha tuu bila hata kuuliza..
Ndio maana kawajengea na Ukuta wa kujishikia wakati mnazungusha whatever mtakacho amriwa mzungushe....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nyie jamaa mmevunja rekodi aisee..
 
Back
Top Bottom