Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane hela za kuhamia Dodoma, anaandika Josephat Isango.

Msigwa amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook na kusisitiza kuwa haamini kama watanzania ni kama ng’ombe wataswagwa swagwa tu.

“We have a serious challenge as a National(tunachangamoto hasa kama taifa), nimshauri Rais aanze kwanza kuuza Ikulu ndipo majengo mengine ya umaa yafuate, nadhani ikulu itapata wateja mapema , tutapata hela za kuhamia Dodoma.” Ilisomeka kauli ya Msigwa.

Mbunge huyo pia amesema haamini kuwa watanzania nikama ng’ombe ambao wataswagwa swagwa tu wakae kimya, na kuonya kuwa mengi watayaona ambayo bado hayajajiri.

Kauli ya Msigwa inakuja ikiwa ni wiki tu tangu serikali ya Magufuli kutangaza mpango wake wa kuhamishia serikali yote mkoani Dodoma kabla ya mwaka 2020.

Magufuli alitoa kauli hiyo, wakati akihutubia mkutano mkuu maalum wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – tarehe 23 Julai. Mkutano mkuu wa CCM uliomalizika mkoani Dodoma wiki iliyopita, ulimchagua Dk. Magufuli, kuwa mwenyekiti wa tano wa chama hicho.

Katika hotuba yake mbele ya wajumbe, Magufuli ameeleza kile alichoita, “dhamira yake ya dhati ya kukamilisha mpango wa serikali wa kuhamia Dodoma.”

Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, umeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti tangu ulipotangazwa wengi wakisema uamuzi huo unafanyika kwa papara na bila maandalizi.

Katika bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge mwezi uliyopita, hakukutengwa fedha zozote kwa ajili ya kazi hiyo.
Awauzie chadema maana kale ka ofis kao kanatia aibu sana
 
Naona umetoka juzi sengerema, hawajambo huko?
Hawajambo lakini wanawapeni Onyo Kali msije mkajitela na Biashara zenu za kushika ukuta mkawasogelea kule.. watawatoeni baru mpaka mshangae...

Mambo yenu ya ki eliton joni hawayataki kabsaa kusikia kule..

Habari Ndio Hio!!!
 
Mbona tuna undumila kuwili?Kumiliki gari mbili zenye kazi mmoja tu ni mzigo vivyo hivyo kuwa na duplicate ya wizara ni mzigo kwa taifa,Dar ipo ovyo bila miundo mbinu ni jipu,na jinsi ya kupunguza tatizo hilo ni kujenga mji mpya mbadala ambao tiyari umepimwa na una masterplan ya kuwa capital city ni Dodoma ya Nyerere.Lakini Ikulu ilio Dar itabaki kuwa Ikulu baadhi ya mijengo ya wizara yamechoka na hayakidhi matakwa ya sasa,ndio muda muafaka yakajengwa Dodoma
 
Hehehe
Unaota wewe
Watanzania !!!

Nyie SHIKENI HUO UKUTA WENU

"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtu. makuni’"
Wewe laana ya unafiki Na usaliti itakuandama umekiacha chama chako ACT kwa unafiki wako Na usaliti sasa umekatwa mkia jua ata akina lizaboni wanajua kuwa wewe ni ng'ombe uliyekatwa mkia tu
 
Anashinda bibi titi anasoma uhuru na mzalendo tu
 
Mmawia said:
Anashinda bibi titi anasoma uhuru na mzalendo tu
Ngo'mbe walio katwa mikia wengi wako kimya hasira zao ni jf
 
Alishawaita wenzake ng'ombe wenye mkia na wasaliti ng'ombe waliokatwa mkia ndio maana yeye mchungi anajiamulia tu juu ya mifugo yake.
 
Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?

mkazane kumuombea kiongoz wenu kama anavyosema kishajigundua hayupo sawa kila siku zinavyosonga mbele anazid kupotea ni matamko tu hajui had muda huu kasimamia wapi na kipi kipaumbele chake.
 
Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane hela za kuhamia Dodoma, anaandika Josephat Isango.

Msigwa amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook na kusisitiza kuwa haamini kama watanzania ni kama ng’ombe wataswagwa swagwa tu.

“We have a serious challenge as a National(tunachangamoto hasa kama taifa), nimshauri Rais aanze kwanza kuuza Ikulu ndipo majengo mengine ya umaa yafuate, nadhani ikulu itapata wateja mapema , tutapata hela za kuhamia Dodoma.” Ilisomeka kauli ya Msigwa.

Mbunge huyo pia amesema haamini kuwa watanzania nikama ng’ombe ambao wataswagwa swagwa tu wakae kimya, na kuonya kuwa mengi watayaona ambayo bado hayajajiri.

Kauli ya Msigwa inakuja ikiwa ni wiki tu tangu serikali ya Magufuli kutangaza mpango wake wa kuhamishia serikali yote mkoani Dodoma kabla ya mwaka 2020.

Magufuli alitoa kauli hiyo, wakati akihutubia mkutano mkuu maalum wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – tarehe 23 Julai. Mkutano mkuu wa CCM uliomalizika mkoani Dodoma wiki iliyopita, ulimchagua Dk. Magufuli, kuwa mwenyekiti wa tano wa chama hicho.

Katika hotuba yake mbele ya wajumbe, Magufuli ameeleza kile alichoita, “dhamira yake ya dhati ya kukamilisha mpango wa serikali wa kuhamia Dodoma.”

Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, umeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti tangu ulipotangazwa wengi wakisema uamuzi huo unafanyika kwa papara na bila maandalizi.

Katika bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge mwezi uliyopita, hakukutengwa fedha zozote kwa ajili ya kazi hiyo.
Huyu ni mchungaji wa nguruwe
 
Soma maneno ya vibaraka wenzio kwanza alafu tuone kama utarudia kebehi zako...

Walioigeuza noun ni hao hao wenzio..

Kakojoe ukalele.. usitafute wa kukurarua kwa lazima saa hizi.. bado jua linawaka.. ngoja ngoja hata giza liingie ndio uanze kujiuza..
It will only take a foolish person to write what you have written. You have no manners and that is the reason you have no shame.
 
1469898332257.jpg
 
Wewe laana ya unafiki Na usaliti itakuandama umekiacha chama chako ACT kwa unafiki wako Na usaliti sasa umekatwa mkia jua ata akina lizaboni wanajua kuwa wewe ni ng'ombe uliyekatwa mkia tu

Hahaha naona umejipanga vyema kushika UKUTA
 
Wewe umeshafanya mangapi??
Au ndio maisha nyuma ya keyboard unajiona umefika tayari??
Mkuu kwa maisha yangu binafsi nipo mbali sana. Naongelea huyu anaetoa lugha kali kwa walio mchagua, baada ya kuwaletea maendeleo yeye yupo na kuwapa lugha za kijinga tu. Au na wewe mmoja ya wajinga?[emoji15]
 
It will only take a foolish person to write what you have written. You have no manners and that is the reason you have no shame.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hivi ulivyofanya wewe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Welcome my fellow foolish person..
Its good to have your kind as well

We are so much alike, this is why we are all here...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huwezi kunikuta chooni alafu uniulze unakuny@ wakati na ww kilichokuleta ndio hicho hicho...

Pole mkuu... i got you!!!

Wanasemaga huu mchezo hautaki nini vilee??? Nikumbushe... usione aibu..
 
A mannerles person will remain mannerless no matter the level of education he/she might have.
 
Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu?

1469858490819-jpg.373214

"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Hapo ndo siasa yaan chadema walimganda lowasa fisadi ili asipitishwe na ccm then wenyewe mampe agombee kupitia cdm waongeze viti vya ubunge.kama kweli ni mwizi why wasimakamate.Jiulize nan alikulaz hela za LUGUMI EPA DOWANS ESCROW METEMETA. BIZWAGI. CCM NDO TATIZO PLUS MFUMO
 
Back
Top Bottom