MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,105
- 35,516
Ndio uhame sasaHuyu jamaa anatoa kauli za maajabu sana leo fyokofyoko, kuhakiki, Sukari, bandari, mishahara hewa na kuhamia dodoma lakini hakuna hata moja la maana alilolifanya. Huyu anatupotezea muda tu lakini nchi hii ipo taabani.