Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Wewe itakua unapenda saana kugeuzwa, geuzwa??
Kwanini unalazimisha kugeuza jina langu pasipo ridhaa yangu??

Ukiligeuza hilo linakua tena sio langu, litakua la kwako.

Wewe lakwako nani kaligeuza??

Jadili hoja achana na majina ya watu mkuu..
Kushika ukuta kumekunogea eehh??

Hili jina lako ukilitamka kwa haraka zaidi ya mara tatu linakuwa limebadilisha maana.
Huyu aliyekushauri na kukubatiza hili jina amekuweza kweli.

Pole sana naona ukisikia Ukuta unachanganyikiwa na bado mtachanganyikiwa na Ukuta.
 
aka tano zinaweza kuisha bila kuwepo jambo tangible lililofanyika hata moja
 
Mi ninamuunga mh Magufuli Kwa mambo mengi Ila Kwa hili la kuuza hizo asset za serikali unaweza Kuwa na impact si Nzuri baadae hili suala linahitaji Muda na ni ketu sote. Kama tukijipanga Kuwa tunahamisha japo wizara mbili kila mwaka Kwa gharama zetu Sioni Kama litaharubika neno badala ya kukutupuka kuuza hizo asset Kwa wageni maana ni watanzania wachache wenye uwezo wa kuthubutu kununua hayo majengo. Watanzania tuwe Makini sana Kwa Hili na sidhani Kama kinahitaji Kuwa suala la taasisi mmoja kwani tunaathirika wote na uamuzi
 
Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane hela za kuhamia Dodoma, anaandika Josephat Isango.

Msigwa amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook na kusisitiza kuwa haamini kama watanzania ni kama ng’ombe wataswagwa swagwa tu.

“We have a serious challenge as a National(tunachangamoto hasa kama taifa), nimshauri Rais aanze kwanza kuuza Ikulu ndipo majengo mengine ya umaa yafuate, nadhani ikulu itapata wateja mapema , tutapata hela za kuhamia Dodoma.” Ilisomeka kauli ya Msigwa.

Mbunge huyo pia amesema haamini kuwa watanzania nikama ng’ombe ambao wataswagwa swagwa tu wakae kimya, na kuonya kuwa mengi watayaona ambayo bado hayajajiri.

Kauli ya Msigwa inakuja ikiwa ni wiki tu tangu serikali ya Magufuli kutangaza mpango wake wa kuhamishia serikali yote mkoani Dodoma kabla ya mwaka 2020.

Magufuli alitoa kauli hiyo, wakati akihutubia mkutano mkuu maalum wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – tarehe 23 Julai. Mkutano mkuu wa CCM uliomalizika mkoani Dodoma wiki iliyopita, ulimchagua Dk. Magufuli, kuwa mwenyekiti wa tano wa chama hicho.

Katika hotuba yake mbele ya wajumbe, Magufuli ameeleza kile alichoita, “dhamira yake ya dhati ya kukamilisha mpango wa serikali wa kuhamia Dodoma.”

Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, umeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti tangu ulipotangazwa wengi wakisema uamuzi huo unafanyika kwa papara na bila maandalizi.

Katika bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge mwezi uliyopita, hakukutengwa fedha zozote kwa ajili ya kazi hiyo.
Msigwa tangu wampokee waliyemuita FISADI akili ziliisha kabisa. Hamna haja ya ikulu kuuzwa hajui kuna ikulu ndogo ma kubwa? Na elimu yake ya uchungaji anadhan majengo ya zamani kama ikulu,majengo ya bagamoyo na makanisa ya zaman kama St. Joseph cathedral nk nk ameshaona wapi yakiuzwa aunkubomolewa?

Chadema mlinisktsha sana since mumpoteze Dr. Slaa kamwe ile cdm haitakaa irudi.
 
Hiyo ikulu na mimi ntajikakamua waniuzie, ila wanipe hati original sabab nasikia hati ipo ujeruman bado wanadai wanaimiliki
 
Hivi wewe ni lini umewacha kushika ukuta?

Msamehe bure tu maana hili jina lake ukiambiwa ulirudie kulitamka kwa haraka mara tatu linakuwa limebadilisha mwelekeo na maana .Ndio maana alivyosikia Ukuta akachanganykiwa akadhani ni ukuta wa matofali alio uzoea.
 
Hili jina lako ukilitamka kwa haraka zaidi ya mara tatu linakuwa limebadilisha maana.
Huyu aliyekushauri na kukubatiza hili jina amekuweza kweli.

Pole sana naona ukisikia Ukuta unachanganyikiwa na bado mtachanganyikiwa na Ukuta.
Kama umetumwa ulitamke hilo jina haraka haraka zaidi ya mara tatu na Mwenyekiti wako anaye kushikisheni ukuta si ni ninyi wenyewe na kupenda kwenu..
Iweje unigeuzie kibao kata mimi na jina langu?? Nahusikaje na ukuta wenu??

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inaelekea kushikishwa ukuta kunawakomesheni kweli kweli.. (in Mheshimiwa's voice)
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Msigwa tangu wampokee waliyemuita FISADI akili ziliisha kabisa. Hamna haja ya ikulu kuuzwa hajui kuna ikulu ndogo ma kubwa? Na elimu yake ya uchungaji anadhan majengo ya zamani kama ikulu,majengo ya bagamoyo na makanisa ya zaman kama St. Joseph cathedral nk nk ameshaona wapi yakiuzwa aunkubomolewa?

Chadema mlinisktsha sana since mumpoteze Dr. Slaa kamwe ile cdm haitakaa irudi.
Endelea kuwapa pole mkuu..
Wanastahali pole nyingi zaidi maana wamejijeruhi wenyewe na sasa wanauguza donda ndugu..
Na hapo bado hawajaenda kupima akili zao kama walivyotushawishi awali..
 
Hiyo ikulu na mimi ntajikakamua waniuzie, ila wanipe hati original sabab nasikia hati ipo ujeruman bado wanadai wanaimiliki
Oky let say, ni kweli wajerumani wanaimiliki hati kama karatasi ila GoT wanamiliki Ikulu Jengo na Ardhi yake..
Sasa sijui nani mjanja..

Jus thinking outside the box..
 
Hakika kama tanzania iliwahi kuwa na rais asiepima kwanza kauli zake ni sasa hivi.
 
Dah.... Kadri siku zinavyosonga ndiyo umuhimu wa Dr Slaa unavyozidi kujitokeza [emoji4]
 
Hakika kama tanzania iliwahi kuwa na rais asiepima kwanza kauli zake ni sasa hivi.

we zakwako ulizopima ushapewa hatimiliki?? ama una bwaya bwaya tu hapa kumuhujumu Mh. Rais??
 
Hakika kama tanzania iliwahi kuwa na rais asiepima kwanza kauli zake ni sasa hivi.
Tupe moja tu, usiandikie mate na wino upo.

Hapa mada ni Ikulu, Magufuli kasema iuzwe, Msigwa kasema auziwe rais aliyepo madarakani, mimi nasema warudishiwe wenyewe wewe wenye asili napo.

Wewe umepima kauli zako? Umetazama mada na tarehe ya huu uzi?
 
Back
Top Bottom