Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Hizi picha zako zime expire tayari njoo na habari mpya ndio utaeleweka kwa watanzania
Ni kweli picha zime expire maana sasa hivi sura za jamaa wote waliopo hapo pichani zina makunyanzi na idadi ya mikunjo imeongezeka.
Lakini cha kustaajabisha MANENO YAO BADO YAPO KAMA YALIVYO.. still fresh as was...
 
Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
TOR za kazi zako ni lazima umtaje Lowassa. Kikao cha CCM kila aliyesimama alimtaja Lowassa. You have nothing els3 to discuss. Tueleze3 ni kwa nini Mwakyembe alificha sehemu ya ripoti ya Richmond kwa kisingizio nchi ingetikisika. Kwa nini Richmond ndiyo Symbion tena iliyozinduliwa na Obama. Lizabon, mtoto mpumbavu ni hasara kwa mama yakem
 
kuna tatizo kubwa ...taasisi yetu ya TISS haikuyaona haya....nchi haikustahili kuwa hivi
 
Ni kweli picha zime expire maana sasa hivi sura za jamaa wote waliopo hapo pichani zina makunyanzi na idadi ya mikunjo imeongezeka.
Lakini cha kustaajabisha MANENO YAO BADO YAPO KAMA YALIVYO.. still fresh as was...
Inaelekea wewe ni bingwa wa mkorogo
 
Kwakuongea kweli
We jamaa unaaminigi vya kusadikika mpaka umeathirika kisaikolojia..

Next time changania ata na ndimu kidogo usipige kavu kavu... zina madhara ya mda mrefu kichwani ndio maana zinakatazwa..
Ona jinsi una hallucinate..
 
Kweli chadema uwezo wao wa kufikiri umefika ukingoni. No wonder wanakaa kikao kwa siku nne mfululizo wakiongelea ukuta.

Bora Slaa alijiengua.
 
Mtu anakejeli kauli za mwenyekiti wenu..nyie badala ya kujibu et mnatetea..'hata ikiuzwa hawezi Kununua Lowassa' yaan kwa akili yenu mnaweza kuuza ikulu?
 
Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu?

1469858490819-jpg.373214

"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Umepotea njia! Mada hoja iliyopo ni msigwa kutaka rais auze ikulu kwanza, hilo la maandamano sijaliona, au labda unaweza kutuonesha wapi mwandishi amegusia suala la maandamano?
 
"HAWA WALISHAUZWA KWA BEI YA JIONI WAKANUNULIKA"
 
Kweli chadema uwezo wao wa kufikiri umefika ukingoni. No wonder wanakaa kikao kwa siku nne mfululizo wakiongelea ukuta.

Bora Slaa alijiengua.
Kwa kuwa wewe ni mjinga umechukulia ukuta kama noun. Hopeless kabisa.
 
Umepotea njia! Mada hoja iliyopo ni msigwa kutaka rais auze ikulu kwanza, hilo la maandamano sijaliona, au labda unaweza kutuonesha wapi mwandishi amegusia suala la maandamano?
Jina lake linaakisi uwezo wake wa kufikiri- konda wa bodaboda. What else can you expect from such a nincompoop? Nothing more that what is written. Trash!
 
Sasa inaonyesha wazi Lowassa amewakuna sana
Nikweli alitukuna sana enzi za ujana wake.. mpaka karibia angeondoka na ngozi..
sasa kwa vile mlimlilia sana tumewaachia na nyinyi awakuneni musikie raha ya kukunwa na mkunaji mwenye uchu wa kukuna mpaka akumalizeni..
 
Huyu jamaa anatoa kauli za maajabu sana leo fyokofyoko, kuhakiki, Sukari, bandari, mishahara hewa na kuhamia dodoma lakini hakuna hata moja la maana alilolifanya. Huyu anatupotezea muda tu lakini nchi hii ipo taabani.
Wewe umeshafanya mangapi??
Au ndio maisha nyuma ya keyboard unajiona umefika tayari??
 
Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Sijawahi kusikia au kuona mwanachama aliyejitoa kwenye chama chake cha awali akawaumiza roho waliobaki kama Lowasa! Wanaumia kiasi kwamba wanamchafua kwa kila ubaya. Mzee Wa watu kaitwa Mgonjwa tena magonjwa mabaya hakutia neno. Anatajwa hata asipohusika. Pole Mzee Lowasa Karma itajipa one day.
 
Back
Top Bottom