Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Mkuu kwa maisha yangu binafsi nipo mbali sana. Naongelea huyu anaetoa lugha kali kwa walio mchagua, baada ya kuwaletea maendeleo yeye yupo na kuwapa lugha za kijinga tu. Au na wewe mmoja ya wajinga?[emoji15]
Ni kweli mkuu upo mbaali saana.. ""Nyuma ya keyboard..."" umejificha..
VR inakupa moyo uko Space unakamua Pokemon.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Since ww uko mbali,
Mwache Mh. Mkuu wetu aliye karibu na wananchi wake aendelee na kazi waliyomtuma yakuwaletea maendeleo.. wewe endelea na maisha nyuma ya keyboard ndio pekee saizi yako yanakufaa..
 
A mannerles person will remain mannerless no matter the level of education he/she might have.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] together we are... together we are buddy...!!!

We are in this together!!

Unapochamba lazma uyashike..

Don't try to act smart..!!!!
 
Naona ninyi wapenda kuchapwa mpaka mmeamua kujenga Ukuta wa kushika ili mchapwe nao vizuri..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Jina lako naona umeligeuza ndio maana ulivyosikia ukuta ukadhani ukuta unaoufahamu wewe.
Kweli akili zenu magamba niza kukurupuka.
 
Hapo ndo siasa yaan chadema walimganda lowasa fisadi ili asipitishwe na ccm then wenyewe mampe agombee kupitia cdm waongeze viti vya ubunge.kama kweli ni mwizi why wasimakamate.Jiulize nan alikulaz hela za LUGUMI EPA DOWANS ESCROW METEMETA. BIZWAGI. CCM NDO TATIZO PLUS MFUMO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

We kweli mwana mazingaombwe..

Ndio akili mpya uliyokuja nayo hiyo??

Muumba pekee ndio wakuwasaidia.. hakuna namna tena..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] together we are... together we are buddy...!!!

We are in this together!!

Unapochamba lazma uyashike..

Don't try to act smart..!!!!
That is the end of your thinking capacity.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jina lako naona umeligeuza ndio maana ulivyosikia ukuta ukadhani ukuta unaoufahamu wewe.
Kweli akili zenu magamba niza kukurupuka.
Wewe itakua unapenda saana kugeuzwa, geuzwa??
Kwanini unalazimisha kugeuza jina langu pasipo ridhaa yangu??

Ukiligeuza hilo linakua tena sio langu, litakua la kwako.

Wewe lakwako nani kaligeuza??

Jadili hoja achana na majina ya watu mkuu..
Kushika ukuta kumekunogea eehh??
 
That is the end of your thinking capacity.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Same as you mkuu..
Tunafanana sana...

Pole kwa kufanana na usiyempenda..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Msigwa Mimi simuamini Kama mchungaji wa kondoo wa bwana alituambia kuwa atakayemchagua lowasa akapimwe akili Leo Hata aseme nini sitakubali Itakuwa uongo na Huenda akaikana hiyo sentensi
 
Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Siku akitangaza kukata watanganyika vichwa NDIO NITAMUONA KIONGOZI hivi sasa ni uchwara tu unamsumbua
 
Magufuli aliuza Nyumba za serikali sasa anauza ofisi akimaliza atamuuza Jescaas
 
Msigwa ni mchungaji wa kondoo za mungu wa dikteta uchwara wa Tanzania
 
Mimi ikifikia kumuuza Jescaa kilaza ndio nitatoa offer
 
Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa



"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Kwetu vibibi vya miaka kama 100 vilikuwa na uwezo wakutabiri mtoto anayezaliwa wakati mama anasukuma na atakavyolia akikua akili yake itakuwaje. Wakibaini itakuwa kama ya kwako walikuwa wanaviua huko anakozalia mama.

Kwetu vibibi vya miak
 
Haka kaandunje kachungaji feki haka kana visa kweli kweli. Mara kaseme watu wapimwe akili wakimchagua fisadi fulani, mara katake kuzichapa kavukavu na DC Kasesera, mara hivi ali mradi vurugu tupu. Siasa kweli ni shida!
 
Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane hela za kuhamia Dodoma, anaandika Josephat Isango.

Msigwa amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook na kusisitiza kuwa haamini kama watanzania ni kama ng’ombe wataswagwa swagwa tu.

“We have a serious challenge as a National(tunachangamoto hasa kama taifa), nimshauri Rais aanze kwanza kuuza Ikulu ndipo majengo mengine ya umaa yafuate, nadhani ikulu itapata wateja mapema , tutapata hela za kuhamia Dodoma.” Ilisomeka kauli ya Msigwa.

Mbunge huyo pia amesema haamini kuwa watanzania nikama ng’ombe ambao wataswagwa swagwa tu wakae kimya, na kuonya kuwa mengi watayaona ambayo bado hayajajiri.

Kauli ya Msigwa inakuja ikiwa ni wiki tu tangu serikali ya Magufuli kutangaza mpango wake wa kuhamishia serikali yote mkoani Dodoma kabla ya mwaka 2020.

Magufuli alitoa kauli hiyo, wakati akihutubia mkutano mkuu maalum wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – tarehe 23 Julai. Mkutano mkuu wa CCM uliomalizika mkoani Dodoma wiki iliyopita, ulimchagua Dk. Magufuli, kuwa mwenyekiti wa tano wa chama hicho.

Katika hotuba yake mbele ya wajumbe, Magufuli ameeleza kile alichoita, “dhamira yake ya dhati ya kukamilisha mpango wa serikali wa kuhamia Dodoma.”

Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, umeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti tangu ulipotangazwa wengi wakisema uamuzi huo unafanyika kwa papara na bila maandalizi.

Katika bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge mwezi uliyopita, hakukutengwa fedha zozote kwa ajili ya kazi hiyo.
Ni sawa tu kwa kuwa ikulu ni sehemu ya majengo ya serikali. Sijui nani atainunua. Labda Wajerumani walioijenga.
 
Haka kaandunje kachungaji feki haka kana visa kweli kweli. Mara kaseme watu wapimwe akili wakimchagua fisadi fulani, mara katake kuzichapa kavukavu na DC Kasesera, mara hivi ali mradi vurugu tupu. Siasa kweli ni shida!
Kwani amekosa nini Msigwa? Magufulu alisema atauza nyumba za serikali. Kwani Ikulu siyo nyumba ya serikali? Mbona watu wanaweweseka?
 
Hahaha naona umejipanga vyema kushika UKUTA
Laana ya usaliti itakuandama sana ona sasa hadi chama chako act kinadai demokrasia wewe ulikuwa unajifanya unatetea uzalendo ona sasa unafiki ulivyokujaa umebaki kuwa ng'ombe aliyekatwa mkia na wanaccm wanakujua wewe umekatwa mkia
 
Back
Top Bottom