msichanganye mambo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,730
Reaction score
62,947
kuna watu wanaitana masharobalo bila kuzingatia kanuni na masharti.
so leo nmeona niwafumbue macho ili jamii isiwaache nyuma.
:mvulana ni sharobalo
:msichana ni sharomalo
je ushawahi kutana na sharobalo au sharomalo wa kibongo?unajua sifa zao?
mia
 
Sharobaro ni Msichana kigori mwenye kupenda kujipura. (Lakini wengine wanasema maana yake halisi ni makalio ya nyani)

Barobaro ni mwanaume mvulana (shababi)
 
Hivi hao watu bado wapo tz? Nilidhani imetungwa sheria ya kuzuia huo upuuzi,

napita tu nikielekea gengeni.
 
1. Kamati mwizi men.
2. Wabana pua.
3. Wapaka karolaiti.
4. Wapaka poda.
5. Wabenua midomo.
6. Wala chips.
n.k
 
Sharobaro ni Msichana kigori mwenye kupenda kujipura. (Lakini wengine wanasema maana yake halisi ni makalio ya nyani)

Barobaro ni mwanaume mvulana (shababi)
dont tell me!!aiss
 
Sharobaro ni Msichana kigori mwenye kupenda kujipura. (Lakini wengine wanasema maana yake halisi ni makalio ya nyani)

Barobaro ni mwanaume mvulana (shababi)

nshawahi waambia watu kuhusu hiyo kitu, nilishambuliwa nkaambiwa sio kweli, sharobaro linabeba maudhui ya kiume na sio ya kike. nkawaacha na ujinga wao,
 
Hivi hao watu bado wapo tz? Nilidhani imetungwa sheria ya kuzuia huo upuuzi,

napita tu nikielekea gengeni.

na huyo muuza mchicha huyo atavunja ndoa yako, shauri yako!
 
1. Kamati mwizi men.
2. Wabana pua.
3. Wapaka karolaiti.
4. Wapaka poda.
5. Wabenua midomo.
6. Wala chips.
n.k

umepatia kabisa mkuu.halafu wanapenda kuishi maisha ya juu tofauti na maisha yao halisi. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…