Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Duu, alikuwa gamboshi...
I was about to start commenting and then, hapo chini nikaona source. No comment!!
I was about to start commenting and then, hapo chini nikaona source. No comment!!
Huyo hakufariki.
Proof:
aliondoka nyumbani baada ya kugombezwa na hakurudi muda muafaka na sasa amerudi hai na ameandaa sababu ya kumfanya asiadhibiwe na wazazi kwa kosa la kutoroka kwa muda mrefu.
Maiti waliyoifukuwa na kuizika upya haikuwa yake.
Mtu(maiti) aliyezikwa siku nyingi baada yakuokotwa amekufa kwa siku kadhaa unaziona wapi hizo alama alizozaliwa nazo, unaziona kwenye mifupa au? Ngozi inakuwa imeshaharibika.
Habari hizi huwa zinaandikwa na Shigongo tuu.
mshana jr, tafadhali sana naomba ujue kuwa mawazo yangu yanalindwa na sheria za hati miliki, please hebu acha kunikopi, mi nakuangalia tu unavyovunja sheria.ndio maana natamani mno kujifunza uchawi