Msichana Witness Obedi aliyefariki na kuzikwa atokea nyumbani kwake na kusimulia mkasa

Wamasai wanakawaida zao za kuitishana vikao vya kupatanisha, tofauti na hapo hakuna kingine zaidi ya visasi na ukifa usije kwenye msiba basi.. Ila bado Witness Obedi anaishi maisha yenye kutia huruma na ni amejikatia tamaa ya maisha.. Bila huyo shangazi yake kufa hatokaa awe wa kawaida kamwe.
Si wamuomdoe Hapo na kupelekwa mbali zaidi?
 
Mmasai anazaliwa, anasoma, anapewa eneo anajenga boma na kuanzisha maisha hapo hapo.. Hawana fikra ya kwenda kuishi mahali tofauti na alipozaliwa. Laiti huyu mzee Obedi asingekuwa anaishi eneo alipozaliwa haya yote yasingempata mtoto wake. Wamasai wanarithishana uchawi kizazi hadi kizazi na unaweza usiwe mchawi lakini unakuwa unajua fika baba, dada au mama yako ni mshirikina. Na ukijitia mlokole wewe unakuwa muhanga mkuu wa huo ushirikina labda uhame eneo ulilozaliwa itakusaidia.
 
Back
Top Bottom