msichana ninaye mpenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msichana ninaye mpenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng zambi, Jul 11, 2011.

 1. E

  Eng zambi Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejikuta kumpenda msichana mmoja her name is .........., i aproach her but she said she love's somebody else, but that somebody doesnt loves her back as she do.... due to that she decided to give me the chance to make her forget his boyfriend and to make her love me........ jf members i need your help how gonna i make her love me in 14 dayz...help plzz?
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh! hii ya leo kali, tafuta mwanamke mwengine sidhani kama huyo utamuweza,kwanini kakupa masharti ya 14days? sasa huyo mdada hata hapumziki alikopendwa hapendwi sasa kaona bora aje kwako ili umpe kivuli ajipumzishe,
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Atakuchuna mpaka ushangae...
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ushauri utategemea umri wako mhandisi. angalia usipewe gearbox ya lorry kuendeshea bajaj,itapaa angani ushtakiwe kwa kuendesha bajaj-eropleni bila kibali!
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Fikiri, je huyo wa zamani siku akibadili mawazo akampenda huyo dada we utakuwa wapi? Huyo kajiforce tu kuja kwako. Kazi unayo.......
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,964
  Likes Received: 3,000
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaaaa JF raha tupu
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kijana, ulishawahi kusikia kauli "Kushika pembe" au "kushikishwa pembe"?

  Pole sana.
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,660
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Huyu ANAJISHIKISHA pembe...
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  watoto wanaobalehe bwana ahhhhhh, balehe zinawahangaisha sana
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,317
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  nahitaji english course wajameni...
   
 11. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,848
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Na wewe ukimpata, akitokea mwingine atapewa 14days ili nawe uondoke maana hakupendi pia. Mtakua ktk duara mnazunguka tu, nakushauri tafuta ambae mtapendana kiukweli acha ulofa.
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,660
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Sangara...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  njoo nkufundishe, umezidi sasa...kilio chako kimenifikia.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Achana nae huyo utajuta hapo baadae!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!!! Huenda siku mojamoja akakamua....
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mentor, tumeanza kunyang'anyana wateja sasa? taratibu basi...

   
 16. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,401
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba uwe makini kwa kutumia lugha hii ya Malkia Elizabeth,kama inakusumbua naomba siku nyingine utumie tu lugha yetu adhimu ya kiswahili...mbona tamu tu?!Wewe ni injinia kweli au umeamua tu kujiita hivyo??Kiukweli hiki kiingereza mmh!
  Nirudi kwenye mada:
  Ushauri wangu kwako ni kwamba huyo msichana hana mapenzi ya kweli kwako kutokana na masharti aliyokuwekea,nijuavyo mimi mapenzi ya kweli hayana masharti!!Kijana kuwa makini kwa sababu jinsi ulivyoleta mada yako inaonekana wewe ni kama ndiyo umebalehe muda si mrefu.
   
 17. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,409
  Likes Received: 2,874
  Trophy Points: 280
  Engineer, tahadhari, ipo tofauti kubwa sana kati ya kuongea wakati unaandika na kuandika huku unaongea, wasiliana na jamaa hapo juu anayesema anatoa kozi ya kiinglish
   
 18. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Easy come easy go! There is no need 2 rush! Just be close 2 her so as 2know her favourities then it'll be easy 4u 2get her smoothly! Don't give up plz!
   
 19. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata wewe ulipitia huko.................
   
 20. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umeona eeh?! Jamaa kapewa swaga za ki- tamthilia hadi kidhungu chake kimeota mbawa....
   
Loading...