Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Aiseee ni ushauri mzuri halisia kabisaa.

Hopefully wamesikia na watazingatia.
 
Pia sio salama sana kuhifadhi "nude pics" hizi devices zetu tunazotumia haziko salama to that extent..

Epuka zaidi materials za namna hiyo kuwepo kwenye Memory card. Device ikipotea ni hatari mno.
 
Nadhani Kuna picha za uchi ambazo mtu mmoja unaemfahamu alipigwa kwa siri na mtu mwingine unaemfahamu pia. Lete picha hizo pls.
 
KWANINI ULALE UCHI BILA NGUO WAKATI ULIOLALA NAYE SIYO MUMEO/MKEO?
HUU NI UPOROMOKAJI MKUBWA WA MAADILI..
\Kuhusu swala la mavazi huwa natofautiana sana na watu wengi. Mungu alipomshonea Adam na Hawa mavazi ya kujisitiri, aliwashonea vinguo tu vya kufunika sehemu za siri, making what is the minimum to be covered... Sidhani kama tukienda mbinguni tutakuta kuna mtu kashitakiwa kwa kutembea nusu uchi...
 
Inasikitisha sana...

Penye wengi huwezi kuwa na uhuru wa kujiachia hivyo...
Achilia mbali kupigwa picha... Hata vitendo vya kihuni unaweza kufanyiwa...

Kuna video fulani imezagaa sana.. Wanawake wa hostel huko chuo.. Wanatumbukiza sijui ndiyo kusaga mwanamke Kwa chupa... Huku wakishangilia...

Cc: mahondaw
 
Uwiiiiiiiiiiii!! Smart911 love mambo ya picha sijui video haya sioooo
 
Back
Top Bottom