Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,661
- 184,081
pazuri mpendwa
uwiiiiiii basi tena nimeisha mimi[emoji27][emoji27]Nawasalimu wana JF wote.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kuwaasa wanafunzi hasa wa vyuoni wanapokuwa vyumbani kwao wawe makini. Wanachuo walio wengi aidha wawe hosteli za chuoni au za kupanga nje ya chuo huwa wanakaa zaidi ya mtu mmoja.
Umakini ninaouongelea hapa ni kwamba, usipende kukaa naked mbele ya wenzake hata kama ni wanawake wenzio, wala kukaa nusu uchi. Pia usipende kulala bila nguo halafu ukaacha kujifunika shuka au blanketi.
Athari ni kwamba, wenzio wanaweza kuwa sio watu wema, wanaweza kukupiga picha kwa siri sana wewe ukiwa hujui na kuanza kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii, utadhalilika.
Nimemaliza.
Kwanini? Unapenda kupiga picha za uchi na mbebe wako??uwiiiiiii basi tena nimeisha mimi[emoji27][emoji27]
Watakuwa kuzimu wale,hata mm niliiona ile video,.aibu na fedheha niliviona mimi mtazamaji[emoji20] [emoji21]Uko sahihi kabisa sasa hivi ukishaona picha imepostiwa na mtu mmoja basi jua itasambaa kwenye mitandao yote ya kijamii mfano juzi niliona video moja ya kibongo vijana wakifanya mapenzi ina ukubwa wa lisaa limoja na madakika kiukweli sijui wale vijana sura zao huwa wanazificha wapi.
nope,kukaa uchi hostel ndo napendaKwanini? Unapenda kupiga picha za uchi na mbebe wako??
jiandae picha yako kuikuta inasambaa kwa mitandao. lolnope,kukaa uchi hostel ndo napenda
ur not serious, lolMkuu si ungetuwekea mfano wa izo picha basi....uzi mkavu kabisa
Kweli mkuu hata Mimi niliona moja INA SAA moja na madakika imeandikwa mwanafunzi wa udom.Uko sahihi kabisa sasa hivi ukishaona picha imepostiwa na mtu mmoja basi jua itasambaa kwenye mitandao yote ya kijamii mfano juzi niliona video moja ya kibongo vijana wakifanya mapenzi ina ukubwa wa lisaa limoja na madakika kiukweli sijui wale vijana sura zao huwa wanazificha wapi.
Mkuu akiinama na nanilii ikiangalia nyuma c inakua tatzo kuu! Lkn kwa kua ww mdada huezi ona kama ni tatzo [emoji41][emoji41]Boarding kulikua na mrembo mmoja yy nguo marufuku, akitoka kuoga taulo anatupa kule, atainama apake mafuta, dah alikua ananitatiza sana.
Pia kama mtu anapenda sana kukaa uchi uchi wenzake wanaweza kumfotoa na kusambaza picha makusudi ili wamkomoe, so ladies really you have to change that behaviour, not good hata kwa wenzenu maana wengine wanakua wamejaaliwa sana, lol.
Tatizo lipo sana, ila basi tu, lol.Mkuu akiinama na nanilii ikiangalia nyuma c inakua tatzo kuu! Lkn kwa kua ww mdada huezi ona kama ni tatzo [emoji41][emoji41]
Haha mkuu kuna shida ukiona mazingira ya mdada mwenzio!?Tatizo lipo sana, ila basi tu, lol.
Shida ipo, ndio maana ile ikaitwa sehemu ya siri, sasa ikiwa wazi tena looh lazima mshtuko na mfadhaiko viwepo, lolHaha mkuu kuna shida ukiona mazingira ya mdada mwenzio!?
Ninachofaham kwa wanaume inaleta mkanganyiko kdg! Kwakua pia maumbile yanaleta ukakasi kdg! Ila wadada hua naona kma mpo huru sana ktk hili...ts possible wanaume wakakaa hata mwaka bila hata mmoja kuona kitu ya mwenzie hata kwa bahati mbaya! But wadada ts a matter of 2 days mko huru kukaa watupu mkiwa pa1!Shida ipo, ndio maana ile ikaitwa sehemu ya siri, sasa ikiwa wazi tena looh lazima mshtuko na mfadhaiko viwepo, lol
i am not a stranger mrThat's good. Don't be a stranger bana.