Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

KWANINI ULALE UCHI BILA NGUO WAKATI ULIOLALA NAYE SIYO MUMEO/MKEO?
HUU NI UPOROMOKAJI MKUBWA WA MAADILI.. HALAFU WASOMI WA SIKU HIZI BHANA, HIVI UNAMPIGAJE PICHA ZA UCHI MWENZAKO BILA RIDHAA YAKE NA KUTUMA MTANDAONI?
Kitandani analala peke yake ila wanakuwa wengi chumbani! japo kuna wakati inatokea hali ya kulala wawili wenyewe wanaita "Kubebana"
 
Uko sahihi kabisa sasa hivi ukishaona picha imepostiwa na mtu mmoja basi jua itasambaa kwenye mitandao yote ya kijamii mfano juzi niliona video moja ya kibongo vijana wakifanya mapenzi ina ukubwa wa lisaa limoja na madakika kiukweli sijui wale vijana sura zao huwa wanazificha wapi.
 
oooooooooooooooooooh!!! jamani
 
Ushauri mzuri sana!
Mwenye sikio na asikie!
Ata mabafuni huko wanapojiachia...
Dunia imeharibika... Watu wanafurahia pale wenzake wanapoaibika
 
Nawasalimu wana JF wote.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kuwaasa wanafunzi hasa wa vyuoni wanapokuwa vyumbani kwao wawe makini. Wanachuo walio wengi aidha wawe hosteli za chuoni au za kupanga nje ya chuo huwa wanakaa zaidi ya mtu mmoja.

Umakini ninaouongelea hapa ni kwamba, usipende kukaa naked mbele ya wenzake hata kama ni wanawake wenzio, wala kukaa nusu uchi. Pia usipende kulala bila nguo halafu ukaacha kujifunika shuka au blanketi.

Athari ni kwamba, wenzio wanaweza kuwa sio watu wema, wanaweza kukupiga picha kwa siri sana wewe ukiwa hujui na kuanza kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii, utadhalilika.

Nimemaliza.

Wanaofanya hayo hufanya makusudi na wanayapenda.
 
Back
Top Bottom