Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Haya tweshinjia mboha. Mirao, haya mambo si ya kwanza lakini siku hizi, picha yako ikija huku mitandaoni tunaiangalia ulivyo iweka. Je, ina maudhui gani. Ya ukahaba au ya bahati mbaya?? Chikira, una maana weye hujawahi kukaa vibaya hata siku moja kwa bahati mbaya?? Watu walikuchukuliaje? Kuwa unawatamanisha au? Jamani, kuona ganda la ndizi sio kuila ndizi.
Wakuoneshe tu lakini kama hukuwa na nia mbaya, hata Mungu anakuona naye atakutetea
 
Picha ile ikisambaa kwenye jamii haipendezi mangatara
 
Hakika mkuu visa hivi ni common kwa sasa.Pia kupiga picha za uchi na kuhifadhi kwenye simu nalo ni janga.Unaweza poteza simu au kumpa mtu ASIE mwaminifu.
Ilo lilinitokea siku moja. Simu yangu iliibiwa halafu ndani yake kulikuwa na images za mtoto wa watu za ovyo ovyo. Bahati nzuri nilifanikiwa kuipata simu yangu siku ya pili baada ya kuibiwa.
 
Back
Top Bottom