Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Ninachofaham kwa wanaume inaleta mkanganyiko kdg! Kwakua pia maumbile yanaleta ukakasi kdg! Ila wadada hua naona kma mpo huru sana ktk hili...ts possible wanaume wakakaa hata mwaka bila hata mmoja kuona kitu ya mwenzie hata kwa bahati mbaya! But wadada ts a matter of 2 days mko huru kukaa watupu mkiwa pa1!

Sasa hapo mfadhaiko unatokana na nn mkuu!? Am curious
Sijawahi na sitowahi kukaa uchi uchi eti mbele ya mwanamke mwenzangu kwa kisingizio kua nilichonacho nae anacho, no way,
Mimi hata kumtazama aliyekaa uchi uchi hua sipendi labda kwa sababu ya mazingira fulani,
sijui kwa wengine ila kwangu nikiona hua napata mfadhaiko, labda swali lirudi kwako ww ukimuona wa aina yako yupo kama vile unajisikiaje, lol (najua swali gumu hilo)

by the way 'Curiousity kill the cat', lol.
 
As i have said b4! For men...maumbile yanatutatza...the thing is out displayed,easily seen,lkn kwa mwanamke sio rahisi kuona hasa kitu husika zaidi utaona mazingira kilipo! Dats da difference... sasa kama ukioni hadi aamue kukuonesha au akae miguu wide open...kwann akiwa naked upate shida! Ni sawa na buttocks ambapo we only see the folds lkn kilicho kati yake hatukioni ndio maana ni rahisi kukaa butts wazi lkn sio kuweka genitals wazi... nafkr nmekujibu ts a matter of maumbile
 
Sababu wengi hawamjui Mungu ndio maana hufikiria kufanya hiyvo vitendo.

Kadri mtu anavyo elimika ndio anazidi kuwa mjinga japo elimu ni nzuri ila kwa wengine huwapoteza kabisa
 
Duh!!! Umenikumbusha kitu wakati nipo chuo/hostel rafiki yangu wa karibu alinipiga picha bila kujijua wakati niko busy kutafuta kitu kwa kabati yangu ya nguo,.looh ile picha nilikuja kuiona kwenye simu ya mpenzi wangu aseee;nilishtuka sana kwani nilikuwa niko nusu naked uzuri mpenzi wa mm alimjibu short and clear "OK,nimemuona"..maana yy alimwambia " umemuona bebi wako eeeh?" Mfyuuuuuu nakumbuka nilimsema sana na kumuonya tabia yake ya kishetani aliniomba msamaha na kusema hakufanya kwa maana mbaya..hayo yalipita na nilihakikisha ile pic inafutwa kwake na kwa mpenzi,sipendi ujinga na mwili wangu..

Tuwe makini kwakweli kuna watu wehu sana dunia hii.
Pole sana mumu
 
Ao ndio wasomi wa sasa hv.hata kwenye kutafuta kazi mpaka watoe papuchi ndio wapate kazi, sijui sikuiz papuchi ni mojawapo ya CV? Ila hongera ujumbe wako mzuri sana
 
Back
Top Bottom