Msichana kuwa makini unapokuwa hosteli (room)

Kweli kabisa, huu ni ushauri mzuri kwa jamii nzima itambue hilo nakufundisha watoto wao
 
Ilo lilinitokea siku moja. Simu yangu iliibiwa halafu ndani yake kulikuwa na images za mtoto wa watu za ovyo ovyo. Bahati nzuri nilifanikiwa kuipata simu yangu siku ya pili baada ya kuibiwa.
Una hakika picha hizo mwizi hakuzisambaza?
 
Picha ile ikisambaa kwenye jamii haipendezi mangatara

Nethi tii ati inapendeza. Hapana hapana. Miye nikiona hata ya mzungu au mhindi akiwa uchi nachukia. Kwa nini ajianike hivyo?? Anataka tuone nini hapo?? Lakini, ka ni watu wameiweka huko kukukomesha au kukuaibisha wao ndo wataaibika tu siku moja kwani lazima uvune ulichopanda. That is nature.
 
kweli
 
Nethi tii ati inapendeza. Hapana hapana. Miye nikiona hata ya mdhungu au mwindi akiwa uchi nachukia. Kwa nini ajianike hivyo?? Anataka tuone nini hapo?? Lakini, ka ni watu wameiweka huko kukukomesha au kukuaibisha wao ndo wataaibika tu siku moja kwani lazima uvune ulichopanda. That is nature.
 
Biashara Za Watu

Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Nethi tii ati inapendeza. Hapana hapana. Miye nikiona hata ya mzungu au mhindi akiwa uchi nachukia. Kwa nini ajianike hivyo?? Anataka tuone nini hapo?? Lakini, ka ni watu wameiweka huko kukukomesha au kukuaibisha wao ndo wataaibika tu siku moja kwani lazima uvune ulichopanda. That is nature.
kweli mkuu
 
unawashauri ikiwa wao wenyewe ndo wanapenda kupost wakiwa naked????
 
KWANINI ULALE UCHI BILA NGUO WAKATI ULIOLALA NAYE SIYO MUMEO/MKEO?
HUU NI UPOROMOKAJI MKUBWA WA MAADILI.. HALAFU WASOMI WA SIKU HIZI BHANA, HIVI UNAMPIGAJE PICHA ZA UCHI MWENZAKO BILA RIDHAA YAKE NA KUTUMA MTANDAONI?

labda joto la daresalam!
 
Back
Top Bottom