Hao mmbwa inakuwa wanao uzoefu wamefundishwa kuingilia watu, hivyo mwenye mbwa lazima akamatwe, afunguliwe mashtaka na kufungw amiaka yote aliyobakiza duniani.
Mbwa ahamie polisi.
Mungu akujalie mtoto upone, na urudie uzuri wako mungu aliokuumba nao.
Naimaomariwangewakamata wote si watanzania peke .. hata hao wawekezaji pia .. kwanini msumeno ukate upande mmoja .. wa Tz walikuwa wakitekeleza amri ya bosi wao, leo iweje wawajibishwe hao tu.
Hakika watu kama hao hata wahukumiwe kunyongwa ni sawa tu
Naimaomari
Waswahili wenzio ndio walikuwepo eneo la tukio ndio maana wamekamatwa wao.Wazungu hawakuwepo.
Tatizo ni letu,sisi kama waswahili kwani TUMEKUWA FACILITATORS KWENYE MAMBO MENGI,hao wamemtoa sadaka mswahili mwenzao(mtoto wao).
LAKINI VIONGOZI WETU WANATUTOA SADAKA(WANASIMAMIA) SISI KAMA TAIFA " KUINGILIWA NA MBWA "