Msiba

Msiba

Mlabondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
224
Reaction score
129
Wana jamii Nina msiba Wa baba yangu mkubwa Mr Mathias J Masinde Ottaru kimetokea 29/05/2011. Mazishi yatafanyika kibosho moshi.
 
Poleni sana akina Ottaru & Co.

Mla-bondo ulisoma Technical School Moshi?
 
Ooooh! Pole sana Kamanda 2pamoja ktk kutakiana kila la Kheri.
 
Wana jamii Nina msiba Wa baba yangu mkubwa Mr Mathias J Masinde Ottaru kimetokea 29/05/2011. Mazishi yatafanyika kibosho moshi.

Mkuu Mlabondo....Pole kwa msiba ndugu yangu...Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina Lake Lihimidiwe....
 
Wana jamii Nina msiba Wa baba yangu mkubwa Mr Mathias J Masinde Ottaru kimetokea 29/05/2011. Mazishi yatafanyika kibosho moshi.
Mkuu wetu,
Pokea pole zangu, na Bwana Mungu akufariji kipindi hiki cha utata kwenu!.
Zaidi sana roho ya marehemu ipate rehma za Mungu, na ipumzike mahala pa salama!
 
poleni sana, Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu, na marehem alale mahala pema peponi
 
Poleni sana
Mungu awatie nguvu
Roho ya marehemu ipatie rehema kwa mungu apumzike kwa amani
Amina
 
Back
Top Bottom