Msiba wa mama yangu mzazi

Msiba wa mama yangu mzazi

Pole Sana ndugu Mungu akutangulie ktk kipind hiki kigumu cha msiba wa Mama yetu
 
R. I. P mama yetu.
Allah akuondolee adhabu ya kabri!!!!
 
Until we take our final breath, you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us!

R.I.P Mum!
 
Wanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.
Pole sana mkuu make hiyo ndo njia yetu ya milele, wape pole ndugu na jamaa yote.
 
Wanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.
pole mkuu sisi wote ni wapita njia,Mungu amrehemu na ampe makazi mema yeye na mama zetu wote waliotangulia
 
nashukuru kwa dua zenu in shaa allah allah ( s.w ) awalipe kwa wema wenu.
 
Back
Top Bottom