Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,177
- 45,777
Poleni sana kwa msiba wa Mama.
R.I.P MAMAWanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.