Msiba wa mama yangu mzazi

Msiba wa mama yangu mzazi

Pole sana. Mungu awajalie faraja na wepesi ktj kipindi hiki kigumu
 
Yaani umefiwa na mama Leo leo na kuposti JF leo leo, hii mitandao imetuharibu sana.
Huna tofauti na wale wakiona ajali badala ya kuokoa majeruhi wao wanakazana kupiga picha Kwanza wawe wa Kwanza kurusha kwenye mitandao.

R.I.P. Mama. !
nimekuheshimu na allah ( s.w ) akuzidishie iman pia.
 
pole sana.innah lilah wainah illah rajiun.sisi wote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea
 
Pole sana kwa kipnd hik kigumu ulichonacho.Makabur ya Kola nayafahamu vizur.
 
Mkuu pole sana Allah akupe faraja na tuzidi kumuombea Mama na tusisahau hata sisi siku zetu zitafika na njia ni moja!
 
Wanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.
Inna lillah wainna ilaih raju'un.poleni wanafamilia,mungu awavushe salama kipindi kigumu.
 
Pole sana kwa kuondokewa na mama yako mzazi, Mweenyezi Mungu akupe moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu kwako. Na aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, AAMINA.
 
Allah ampe safari ya kheri. Amsameh makosa yake.

Poleni wafiwa.
 
Pole ndugu ila shukuru umempumzisha mama, wapo ambao mama wanawazika watoto. Tumuombee apumzike kwa amani Amina.
 
Back
Top Bottom