Msiba wa mama yangu mzazi

Msiba wa mama yangu mzazi

Pole sana mkuu, Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
 
Aaah umenikumbusha mjomba wangu nimemlaza hapo.
Pole sana nsereko. Mungu ndie mpangaji wa yote. Midomo yako isikauke maneno ya shukhrani kwa Mungu kwa yote aliyotenda.
 
Yaani umefiwa na mama Leo leo na kuposti JF leo leo, hii mitandao imetuharibu sana.
Huna tofauti na wale wakiona ajali badala ya kuokoa majeruhi wao wanakazana kupiga picha Kwanza wawe wa Kwanza kurusha kwenye mitandao.

R.I.P. Mama. !
 
hadi post ya msiba watu wanagonga LIKE? noma sana JF never boring . rip 2 ur mom
 
Last edited:
Nsereko m pole sana. Hakika sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake ni marejeo.
 
Oh pole sana ndugu yangu!
Tumuombee Mama Makazi Mema kwa Mola wake. Amen
 
Back
Top Bottom