MSIBA, nimefiwa mwenzenu!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Ni mwalimu wangu ambaye amenifundisha darasa la kwanza, ni kipindi kile
ambacho tulikuwa hatupitii shule za awali tulikuwa tunaanza shule ya
msingi moja kwa moja.

Nilimpenda sana huyu mama na kila nilipokuwa narudi likizo ilikuwa lazima niende
nikamsalimie na kumwachia chochote kwani namuona kama mama yangu pia
nakumbuka mbali sana kila ninapomuona.

MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI... AAMIN.
 
Pole sana Gazeti
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
Amen
 
Pole sana Gazeti! Na ni msiba mzito sana ila hakika kazi ya MUNGU haina makosa!
 
Apumzike kwa Amani, raha ya milele umpe ee bwana na mwanga Wa milele umwamgazie
 
Kila nafsi itaonja umauti,tangulia Mwalimu nasi twaja.RIP Teacher.
 

Pole sana kaka mkubwa, msiba uko wapi, Ntwara?
 
Pole sana GAZETI, MUNGU mwema ampumzishe kwake, AMEN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…