Msiba mkubwa mtaani Kwetu

Msiba mkubwa mtaani Kwetu

Mamndenyi Malipo ni hapa hapa duniani, housegirl ali mkick mama mwenye nyumba hadi umauti ukampata. Yule aliyezaa amekufa, ile nyumba kwishney, the so called mume lupango!!! Unataka Mungu akuhukumu vipi tena!!! Ole wenu manungayembe mnamendea waume za watu, hata kama ni Hgilrl anatakiwa amwambie mama mwenyenyumba kam mume anamtongoza. Siku zote tenda wema nenda zako na kuwa mwaminifu hata kwa jambo dogo ili Mungu awe mwaminifu kwa mambo yako. Sifurahii mtoto amekufa ila tu nataka uone jinsi Mungua anavyofanya kazi yake. Iogope ndoa ya mtu kama ukoma.

hivi kwa nn wanawake mnawadharau sana wafanyakazi wa ndani mpk mnawaona kama sio watu wasiostahili kuolewa au kumchukua mume wako? Sijaona tatizo hapo huyo housegirl aliyeolewa alikuwa na haki kama m/mke mwingine yoyote duniani ya kuolewa na mtu ambaye amemtaliki mkewe

Housegirl pia ni binadamu ndio maana wanaume wanatembea nao kama kawaida na muwaheshimu siku zote. Sipendi mtu anayenyanyasa house girl
 
Hii Mamndenyi umekosea sana, ungeiuza kwenye magazeti ya udaku ungeshamalizia kile kibanda chako kule Kibaha.
Naanza kupata wasiwasi kama wewe ni Mchaga kweli.

Aisee umeshaharibu dili, maana wadaku wameshakuwahi na sasa timu yao iko eneo la tukio wanakusanya habari. Yaani kwa kupitia chanzo chako hiki watu wanajitengenezea mkwanja kiulainiiii...... LOL

Mzee Mtambuzi hebu nipe mbinu za kuuza habari make mtaani kwetu habari haziishi aisee....
 
Last edited by a moderator:
Na wewe ni wa pande hizi nini? Halafu babu Asprin taratibu tafwaadhali kama unadhani huku ni sawa na huko buguruni kwako tukualike siku moja uje ushangae Europe ndogo huku tunavyokula oksijeni safi.

CC Mamndenyi



Hahahah mangi acha zako bhana. Kipande ya huko si mna ugomvi na Mnyika kwa mgao wa maji. Sie huku Halima Mdee wala hata hatuna sababu ya kumtafuta. Twajilimia matikiti kwa kwenda mbele. Subirieni stand ya mabasi ya kwetu ihamie huku ndo tutaheshimiana.
 
Last edited by a moderator:
Una akili sana wewe anti yangu
hata jana pale chachi kwetu wameyasema haya
yakuwakata hawa watu mishahara.

kama hatusali kanisa moja basi ujumbe ulifanana kwa hili swala la kuwakata mishahara hawa dada wanaotusadia kazi, tunapaswa kujua kama binadam anakufa basi na vyombo pia vina mwisho wake!!
 
Mamndenyi Malipo ni hapa hapa duniani, housegirl ali mkick mama mwenye nyumba hadi umauti ukampata. Yule aliyezaa amekufa, ile nyumba kwishney, the so called mume lupango!!! Unataka Mungu akuhukumu vipi tena!!! Ole wenu manungayembe mnamendea waume za watu, hata kama ni Hgilrl anatakiwa amwambie mama mwenyenyumba kam mume anamtongoza. Siku zote tenda wema nenda zako na kuwa mwaminifu hata kwa jambo dogo ili Mungu awe mwaminifu kwa mambo yako. Sifurahii mtoto amekufa ila tu nataka uone jinsi Mungua anavyofanya kazi yake. Iogope ndoa ya mtu kama ukoma.

Mungu ahukumu kajitengenezea mazingira mwenyewe ni vile tu Universe ina operate......Karma is really a biyatch
 
Inawezekana,
Hapa jf kumbe tupo majirani sana;
Watu wanasahau kuwa tutaondoka bila kitu chochote,
hata suti, saa za gharama, viatu nk vyote vinaenda kuwa udongo tu.

kama hatusali kanisa moja basi ujumbe ulifanana kwa hili swala la kuwakata mishahara hawa dada wanaotusadia kazi, tunapaswa kujua kama binadam anakufa basi na vyombo pia vina mwisho wake!!
 
Hahahah mangi acha zako bhana. Kipande ya huko si mna ugomvi na Mnyika kwa mgao wa maji. Sie huku Halima Mdee wala hata hatuna sababu ya kumtafuta. Twajilimia matikiti kwa kwenda mbele. Subirieni stand ya mabasi ya kwetu ihamie huku ndo tutaheshimiana.

mburaaa....stendi ikihama narusha ngumi aisee...
Maji tushaazoea kununua wala siwezi kumhukumu Mnyika kwa hii kitu kwani ni issue ya serikali sio Mbunge...Kazi yake ni kulisemea na kwa waliomfuatilia alishalisemea mno kwa miaka 3 mfulilizo hadi akaonekana msumbufu bungeni but nothing has been done.
 
Heeee,
makubwa,
mie hoi jamani, hivi kweli tupo jirani kabisa,
mama yangu eeeh, uuuwiiiii.

Haya bana jirani sasa inabidi tukatafune mdudu wikiendi aisee....palee Luguruni Park au Kwa Mrema pale jirani na EDEN PARK...
 
Back
Top Bottom