Msiba mkubwa mtaani Kwetu

Msiba mkubwa mtaani Kwetu

Mungu wa sasa ni kijana,malipo hapa hapa,tit 4 tat,alimchukulia mwenzie mume,akasababisha kifo chake either kwa mshtuko or whtvr,ona sasa mtt kateketea imeniuma,limama lake ndio lingekufa hicho kifo na baba huko lupango akose hata dhamana shen....y zao!
 
Daah poleni. Ila hapo mzembe ni huyo house girl ambaye ameona vitu ni bora kuliko mtoto.
 
mamndenyi inabidi uhame mtaa kila siku majanga mtaani kwenu
 
housegirll alinsababishia mauti mama wa watu kwa kihoro akajua kamkomoa ili afaidi mume na Mali. mungu ni wa ajabu nae katendwa na housegirl.mali yaani nyumba imeteketea na uzao wake umeteketea.mbaya zaidi mume aliyeporwa nae yuko lupango
.karudi kulekule mweupeee!
 
Salaam sana wana MMU na wengineo wote;

Ilikuwa ni juzi ijumaa jirani yetu amepata balaa la kuunguliwa na nyumba;

Kwa kifupi;
Baba mwenye nyumba alimwacha mkewe wa ndoa akaamua kuvuta ndani house gel;

Mke wa ndoa kwa kihoro haikuchukua muda Mungu akampumzisha;

Maisha yakaendelea, mjakazi ambaye sasa ndo mama mwenye nyumba akajaliwa mtoto wa kiume tuseme mtoto alikuwa na miaka mitatu hadi minne;

Hiyo Ijumaa sasa;
Mama ameenda kwenye shughuli zake mtoto amebaki home na house gel,
haikujulikana kana ni shoti ya umeme au ni mtoto aliwasha kiberiti ndani
moto ukaanza kidogo kidogo, house gel badala akimbilie kumwokoa mtoto akaanza kutoa vyombo vya ndani
akamsahau mtoto, ile majirani wameona moto wakimbilie kwanza kuhangaika kufungua geti ili wafike ndani moto
ndo umezidi;

Wakamkuta house gel anajaribu kutoa vyombo vya ndani nje, kuuliza mtoto yuko wapi, kumbe alimsahau ndani;
ni majonzi na huzuni kubwa, kweli yule mtoto kaungulia ndani hadi kaisha kabisa;

Mbaya zaidi baba mwenye nyumba yuko kifungoni kutokana na kosa la kukutwa na pesa za bandia;


.................... Mtanisamehe pale ambapo sikueleweka vizuri, ni kiswahili kinanishinda.............

Aisee Mamndenyi, Kumbe upo Mbezi Inn? Mimi jirani yako aiseee....Haya bana hii issue ni kweli kabisa na naifahamu hakuna ulichoongeza wala kupunguza.....
 
Last edited by a moderator:
Hiki kisa cha huu msiba kama nakifahamu vile...

Na wewe ni wa pande hizi nini? Halafu babu Asprin taratibu tafwaadhali kama unadhani huku ni sawa na huko buguruni kwako tukualike siku moja uje ushangae Europe ndogo huku tunavyokula oksijeni safi.

CC Mamndenyi


 
Last edited by a moderator:
Hii nayo ni kali,
Hivi kumbe sie ni majirani;
usinisahau kwenye minusu mwanya.
Aisee Mamndenyi, Kumbe upo Mbezi Inn? Mimi jirani yako aiseee....Haya bana hii issue ni kweli kabisa na naifahamu hakuna ulichoongeza wala kupunguza.....
 
Sijui kama ataweza kumiliki hata 20x20, au uongo Asprin?
Na wewe ni wa pande hizi nini? Halafu babu Asprin taratibu tafwaadhali kama unadhani huku ni sawa na huko buguruni kwako tukualike siku moja uje ushangae Europe ndogo huku tunavyokula oksijeni safi.

CC Mamndenyi


 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa kwetu hatujui mgao wa umeme
kwa kuwa bosi wao tunaye pale mtaani;

Na hawa panya road kule siyo rahisi
as bosi wao pia yuko pale mtaani.

Mengine tutayavumilia hivyo hivyo tu.
mamndenyi inabidi uhame mtaa kila siku majanga mtaani kwenu
 
Hii Mamndenyi umekosea sana, ungeiuza kwenye magazeti ya udaku ungeshamalizia kile kibanda chako kule Kibaha.
Naanza kupata wasiwasi kama wewe ni Mchaga kweli.

Aisee umeshaharibu dili, maana wadaku wameshakuwahi na sasa timu yao iko eneo la tukio wanakusanya habari. Yaani kwa kupitia chanzo chako hiki watu wanajitengenezea mkwanja kiulainiiii...... LOL

yuko upande ule wa pili na akili nasita kusrma zimefubaa kidogo niwie radhi ila 'dio uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Ajali za namna hii zimetokea mara nyingi sana na visa vinafanana fanana. Tukisema ni uzembe wa hg linaweza lisiwe jibu sahihi na tukisema uzembe wa wazazi inaweza kukaribia kwenye ukweli.

Mimi nazani kwa wale ambao wapo katika mfumo huu wamaisha yaani wazazi wote kazini alafu mtoto anabaki katika uangalizi wa hg tujaribu kufanya mafunzo kwa hawa wadada. Kufanya mafunzo na mazoezi sio kwamba tunajiombea moto utokee la harsha, bali tutaweka mazingira salama kwa watoto na mali zetu. Unaweza kuwa unamkumbushia hg mara kwa mara nini kianze kufanyika mara moto unapotokea. Mfano mzuri watu wa viwandani huwa wanamafunzo ya mara kwa mara kujifunza namna yakukabiliana na moto na mara nyingi wamekuwa wakifanikiwa kuudhibiti moto nakuokoa mali husika.

Hivyo nazani tusipokuwa na mafunzo maalumu kwa hawa wadada tunaowaachia watoto kucha kutwa kila siku tutakuwa tukiishia kupata hasara. Lakini hebu tujaribu kuchunguza akili zao kabla hatujawaamini 100% kuwakabidhi watoto wetu. Mara kama tunafuatilia vizuri visa na matukio ya hawa hg utagundua akili zao kama wamevurugwa au hawako sawa kichwani. Samahani kwa luga hiyo lakini ukweli ndo huo. Jaribu kumchunguza tangu siku ya kwanza anajiunga na familia yako utagundua kitu.

Pia kwa wale wenye kipato kikubwa ni vizuri wakaajiri mtu mzima ambae yeye atadili na watoto mojamoja. Mtu mzima anauzoefu na malezi ya watoto kwasababu hata yeye amewahi kuzaa na kulea. Mimi kuna rafiki yangu nimependa idea yake. Yeye anaajiri mama mtu mzima kabisa kulea watoto na hg anakuwa kwa ajili ya usafi wanyumba, vyombo nguo nk lakini marufuku hg kugusa mwanae labda kufua nguo za mtoto tu.

Hopely nimeeleweka.
 
Kuna msiba wa mtoto kuungua ndani ya nyumba na ni kama wiki tu hiyo familia ilitoka kupatwa na msiba wa bibi...ni familia ya waichaga

Na wewe ni wa pande hizi nini? Halafu babu Asprin taratibu tafwaadhali kama unadhani huku ni sawa na huko buguruni kwako tukualike siku moja uje ushangae Europe ndogo huku tunavyokula oksijeni safi.

CC Mamndenyi
 
Uzuri wa kwetu hatujui mgao wa umeme
kwa kuwa bosi wao tunaye pale mtaani;

Na hawa panya road kule siyo rahisi
as bosi wao pia yuko pale mtaani.

Mengine tutayavumilia hivyo hivyo tu.

lol.....nyi msukuma ulya muiwu amleshi mcho?
 
Back
Top Bottom