Msiba gani umekuumiza sana huu mwaka 2021?

Sema kipenz chako kubwa jinga ww
kwan mpka umutukane mkuu!!...mbona huna ubongo,,,ni kipenz ee!! sio kipenz kwako na hao wengne lakin pia ni kipenz cha wwngne waliopo na wapo!! kwa ubongo wako unahis alipendwa na mmoja tu acha ujinga..
 
Huu hapa..mpaka nimeuandikia story....usisahau kunipigja kura kama nawewe ni muhanga

 
Ungeuliza Ni msiba gani uliofurahisha hii thread ingecha giwa sana. Na angetajwa huyo huyo.
 
Back
Top Bottom