Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
420
1,582
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1. Kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2. Mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna China wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home Iringa kumuona mama

3. Mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa Magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanzo hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanzo

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada Iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka Iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
 
Bado una safari ndefu inakuuubiri mbele yako,kubwa shukuru sana Mungu amekupa mlango wa mafanikio na umeishika pesa na kuitawala uwezavyo. Mengine ni mapito ya kawaida kwa binadamu alie hai hapa duniani.

Jiulize usingepitia hayo,ungejifunza kweli namna ya kuishi na binadamu? Narudia tena shukrani ni moja ya jambo unalopaswa kulitanguliza zaidi ya majuto. Hapo ndani tangu iumbwe dunia kuna ambao hawakawahi kumiliki hata ml 10,kwanini wewe?!

Kama uliweza pata mtaji wakati uliopita hata sasa utapata,ila ongeza nidhamu binafsi,Mungu kwanza kwenye yote uyatendayo na uyaamuayo,mafanikio yanaambatana na kuwasaidia wahitaji,ukipata usiwasahau.

Mungu akurudishie vyote vilivyoliwa ,na akuongoze kuiona njia ikupasayo kupita. All the best
 
Mkuu pole sana.

Bado upo ktk msongo mzito wa mawazo, mimi yangu machache ni haya.

Mshukuru Mungu kwa yote yalotokea kwani ni funzo kubwa mno kwako. Pasipo mapito hayo usingeweza kujua kama mwanamke uliyekuwa naye ni sahihi kwako.

Pasipo hayo mapito, usingeweza kujua kwa undani tabia za ndugu zako.

Wewe bado mdogo, mimi nina mtu namfahamu mambo yake yalianza kunyooka akiwa above 40, ndo akaoa n.k

Tazama changamoto za biashara zilizopelekea uyumbe, tazama namna nzuri ya kuzitatua.

Ombea na kuikabidhi biashara na maisha yako kwa Mungu.

Amini ktk Mungu na ktk mipango yako ya kutatua biashara zao, epuka kusimulia watu changamoto ulizopitia na unazokutana nazo.

Sio mbaya kwa sasa uanze upya kabisa, kama una fedha yoyote tafuta biashara nyingine ndogondogo anza nayo hiyo.

Usione aibu kumiliki bajaj, restaurant, duka la jumla n.k

Nakuombea kwa Mungu uinuke tena.
 
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1.kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2.mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna china wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home iringa kumuona mama

3.mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanza hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanza

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
pole mkuu
 
Mkuu pole sana,lakini nikuambie tu jambo moja
Usikate tamaa kabisa,amka ulipolala anza kupambana.
Dunia haina huruma hasa sisi jinsia me.

Ulipata access ya kumiliki 100mil at the age of 22 tu means una bahati sana unfortunately hujui hilo.
Mimi nina 26yrs hela nilofanikiwa kuishika na kuwa na uhuru wa kuitumia ni laki 9 niliipata kipindi nipo chuo chanzo,boom nilichelewa kupata nilivyokuja kupata nikapata la kwanza,1weeks later nkapata tena so nkakutwa nimetumia kam 100k tu.

Pesa nyingine nikishika waga ni za watu tu mkuu.

Wakuu tupeane michongo ya kazi,tushikane mikono wanandugu,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kazi iwe ofisini au kusimamia biashara yoyote naomba hiyo nafasi mkoa wowote nipo tayari kufika.

Nipo tayari kuelekezwa au kufundishika pale patahtaji kufundishwa ili tu nikidhi na niendane na uhitaji wa kazi,biashara au taasisi husika.
Napatikana MWANZA
Mawasiliano 0767911491
Umri:26

Elimu:chuo(sijagraduate nina kimeo)
Namba ya nida ninayo
Natanguliza shukrani.
 
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1. Kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2. Mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna China wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home Iringa kumuona mama

3. Mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa Magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanzo hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanzo

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada Iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka Iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
Nilichogundua wewe pamoja na kujifanya mfanyabiashara hujui principles za biashara! " business is different entity from the owner" yaani "biashara inasimama peke yake kutoka kwa wamiliki" sasa wewe unaleta shida za ndugu zako na watu wako kwenye biashara? Biashara lazima ife! Unaleta mahitaji ya dada, mama, girlfriend, huruma, n.k kwenye biashara? Biashara lazima ife! Mfanyabiashara hutumia faida inayotokana na biashara kushughurikia changamoto za mwenyewe biashara! Sasa wewe unatumia mtaji kushughurikia changamoto za ndugu! Kalaghabao!
 
Kwakweli inatia uchungu sana.

Ndugu wanapokusaliti.

Na mkizaliwa wengi lazima muende ndivyo sivyo.

Cha kufanya Kata mawasiliano na hao kaka zako. Huna jinsi ni lazima ufanye. La sivyo watakurudisha chini tena.

Anza upya hustle zako.

Mapenzi yaache kwanza huwa yanarudisha nyuma tu.

Pambana mpaka uwe stable una miaka 8 till 40 years ya kubadili Kila kitu
 
Nilichogundua wewe pamoja na kujifanya mfanyabiashara hujui principles za biashara! " business is different entity from the owner" yaani "biashara inasimama peke yake kutoka kwa wamiliki" sasa wewe unaleta shida za ndugu zako na watu wako kwenye biashara? Biashara lazima ife! Unaleta mahitaji ya dada, mama, girlfriend, huruma, n.k kwenye biashara? Biashara lazima ife! Mfanyabiashara hutumia faida inayotokana na biashara kushughurikia changamoto za mwenyewe biashara! Sasa wewe unatumia mtaji kushughurikia changamoto za ndugu! Kalaghabao!
Hii nayo ni point ya msingi
 
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1. Kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2. Mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna China wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home Iringa kumuona mama

3. Mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa Magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanzo hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanzo

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada Iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka Iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
Pole sana mkuu. Ila kumbuka one's ur a soldier ur a soldier.
 
Dark zone to light zone.

Upo karibu na vigogo ,kwanini usiingie serikalini huku ukijipanga kurudi KTk game la biashara.
 
Kilichokukatizha tamaa mainly ni vitu vitatu

1. Ni kifo cha mama, uwepo wa mzazi hutufanya tupambane sana ili tuendelee kumpa vilivyo vizuri. Akitoweka unaanza pata mawazo nahangaikia nani kama kipenzi hayupo

2. Ndugu zako, katika hii anguka amka, anguka amka kuna sehemu ilifika wanakuonesha Dharau hawakupi heshima kama ya awali, ukiliwazia hili unaona umesalitiwa, umenyonywa kinachofuatia ni kupoteza ari (morale) ya kuendelea kuchechemea kusonga mbele

3. Ni mpenzi wako, hawa nao hutupa push ya kuamka kitandani, hutufanya tutafute zaidi hasa pale unapowaza atakula nini? Atasukia nini? Atavaa nini?
Mtu wa aina hii akitoka katika mfumo wa maisha yako ile ari ya kutafuta inashuka pia.

USHAURI WANGU KWAKO

1. Upepo wa biashara ni mbaya, biashara nyingi maelf kwa maelf zinayumba na kufungwa toka Zuchu achukue himaya pale Tandale country hela zimekuwa ngumu. nina rafik yangu alikuwa na biashara zaid ya 300m katika .zunguko huwez amin kwa sasa anashindwa kulipa mishahara wafanyakaz wake.

Point kuu hapa usione upo peke yako, ni hali ya watu wengi sema kila mtu anaendelea kurusha mbawa kuona namna anaweza songa mbele

2. Hakikisha unapopata mafanikio usibaki na biashara moja, kuwa na projects zaidi ya tatu. Amini mimi ukianza kuanguka kama hivi kuna kiprojects kitakubeba kidogo kidogo na kukurudisha kwenye msitari. Biashara zoote haziwe kufa kwa mara moja.

Mfano wakati una hela ungekuwa una mashamba unalima, yangekupa push wakati wa mavuno, au wakat una hela ungekuwa umenunua mbuzi wako wa kutosha na kuwatunza katika eneo fulani, leo ungeenda kuwauza na wakakupa back up

Katika kufanikiwa kuna kuanguka na kujikwaa kwingi sana,

Mvumbuzi wa bulb ya umeme mwamba alifeli zaidi ya mara 60, but akaendelea kuwa king'ang'anizi na akatoboa

KFC Ukifuatilia mafanikio yake hadi sasa alisha anguka, alisha dhalilika sana, ila kakomaa leo kafika alipo

Nina vingi vya kusema ila nimalize kwa kusema, anguka mara 7 amka mara 8. Usikate tamaa, usiathirike na ile aibu ya wananionaje ndugu, mtaani, waliokuwa wananifahamu n.k

Niambie hadi sasa umebaki na salio la kias gani nione au wadau wanaweza kukushauri cha kufanyia hiyo hela ili uendelee kupambana na sio kukata tamaaa.

Call me Maaaaagala. Am out.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom