Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

Naona na wewe una mpango wa kuanzisha sacccos yako, yangu macho..
 
Kwa hiyo shem Madame B , ndiyo kusema huyo KALA pini ataendelea kupeleka pwani jigo hadi lini?
 
Last edited by a moderator:
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli.

Wambea kazi kwenu.
Mbuzi Kala Mkeka...
Kila siku akina Wema na Lulu tu...

Hahaha....
Mbuzi kala mkeka wapambe tutakaa wapi...???
 
Last edited by a moderator:
Madame B daaah unanipa wasiwasi kwani unapenda nini hasa. umemwacha tena Ben Saanane???
 
ila kwenye malavidavi ubabe kando...sidhani kama atauleta!
sasa huu mshutko unatoka kwenye gazeti gani nikanunue?

Ahh shosti, ina maana hujui mie mwandishi wa gazeti gani la Udaku!
Ni Risasi bhana.
 
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli.

Wambea kazi kwenu.
Mbuzi Kala Mkeka...
Kila siku akina Wema na Lulu tu...

Dadaaaa we mkali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom