Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

wewe dada una chembechembe za umalaya. si bure
 
Saa Nane anaingiaje kwenye hii thread? Acheni mambo ya kijinga! Mnadhalilisha jukwaa!
 
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli.

Wambea kazi kwenu.
Mbuzi Kala Mkeka...
Kila siku akina Wema na Lulu tu...

mh.... siamini nnachokiona
 
Last edited by a moderator:
Siku ukiwa na pio pio ya kichwa napua usisahau kutuwekea picha hapa hapa tukuone
 
Ponda mama ponda laifu! Kwanini uinyime nafsi bizaa zilizosheheni chekwaa! Na zenye bei ya jioni? Btw tutaftie Rozari au Tasbihi itusaidie tukitamani kukaunti idadi ya Saccoss!
 
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli.

Wambea kazi kwenu.
Mbuzi Kala Mkeka...
Kila siku akina Wema na Lulu tu...

Maumivu ya kichwa huanza poole pole...
Copy: Ben Saanane kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Saa Nane anaingiaje kwenye hii thread? Acheni mambo ya kijinga! Mnadhalilisha jukwaa!

Usilolijua fanya mpango wa kulijua kabla hujaonesha ujinga wako hadharani...
 
Usilolijua fanya mpango wa kulijua kabla hujaonesha ujinga wako hadharani...

Kiongozi!
Huyo ni umhurumie tu! Naamini atakua ame'board basi la Arusha ilhali anaenda Songea!
 
We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mademe B si ndio alikuwa anamuambia MziziMkavu akirudi home kutoka Ughaibuni aje ampachike mimba? Eti anataka kupata mtoto wa kiarabu duh kiukweli Ben saa8 umebugi kwa huyu mmatheri ni daladala ile mbaya. Ushauri wangu kwa BEN SAA8 chukua taraka upotee Kala anaweza kukutoa manundu mwanangu.
 
We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?

Aligombea udiwani mkuu sio ubunge.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom