Hapa hatoi na wala hapokei mtu talaka.
Tumeshibana.
Nataka nikaandikwe gazetini.
Sina la kusema...
Napenda mchorwe na yule cartoonist wa kenya aliyechora waheshimiwa mjengoni, hebu jenga picha mtakavyo tokelezea ki-cartoonist front page kwa Uwazi, kombora na Kiu!