Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

Mshtuko: Madame B na Kala Pina sasa Mambo hadharani.

We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?

Haswaa! Umemjuaje ? Wewee nawe hunaga siri eti? Mi nilimuona majuzi kati pale mkwajuni , kwa shoe shine alikua anazungushiwa uzi wa soli, na buti zake zilikua ziko advance enough!
 
Last edited by a moderator:
We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?

mkuu aligombea udiwan wa kinondoni kupitia cuf. Lakin Madame B mbona ccm huchukui?
 
Last edited by a moderator:
Saa Nane anaingiaje kwenye hii thread? Acheni mambo ya kijinga! Mnadhalilisha jukwaa!

Funga domo lako na angalia maisha yako.
Ben Saanane hakuhusu wewe mwanaume mwenzake, ananihusu mimi mwanamke rijali.
Chapa lapa rudi ulikotoka kijana,umekuja siko.
 
Last edited by a moderator:
Siku ukiwa na pio pio ya kichwa napua usisahau kutuwekea picha hapa hapa tukuone

Hahaha!
Mike Tyson na ujanja wake wote, hasemi neno mbele ya mkewe, sembu Kala.
Wananyweaga wale!
 
Ponda mama ponda laifu! Kwanini uinyime nafsi bizaa zilizosheheni chekwaa! Na zenye bei ya jioni? Btw tutaftie Rozari au Tasbihi itusaidie tukitamani kukaunti idadi ya Saccoss!

Hahaha!
Shem, wewe mwenyewe una Saccoss nakuhifadhi tu.
 
We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?

Ndio huyohuyo.
Ameniambia kuwa hatanigusa kabisa Bishanga.
Naona kiroho chakudunda maana nawe wan'tamani sana.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mademe B si ndio alikuwa anamuambia MziziMkavu akirudi home kutoka Ughaibuni aje ampachike mimba? Eti anataka kupata mtoto wa kiarabu duh kiukweli Ben saa8 umebugi kwa huyu mmatheri ni daladala ile mbaya. Ushauri wangu kwa BEN SAA8 chukua taraka upotee Kala anaweza kukutoa manundu mwanangu.

We CHAMVIGA, MziziMkavu alisema anataka aje atupachike ujauzito wadada wa Jf, sasa mie kwa kuwa mwanangu nilienae ni kaarabu,nataka nimtafutie kaarabu kenzie ka kucheza nae.
Hatuachani na Ben nguu.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niwasiliane na mlokole shigongo mfanye dili hilo my wife Madame B
 
Last edited by a moderator:
Madame B ujifunze boxing kabisa maana huyu shem mpya hadi kina dudu baya wamemshindwa!
 
Last edited by a moderator:
We CHAMVIGA, MziziMkavu alisema anataka aje atupachike ujauzito wadada wa Jf, sasa mie kwa kuwa mwanangu nilienae ni kaarabu,nataka nimtafutie kaarabu kenzie ka kucheza nae.
Hatuachani na Ben nguu.

Huyu Kalapina tena jamani atokea wapi si utamuua Ben kwa Presha na wivu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom