Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

kaa ukijua charminglady mwenyewe hakujipigia kura,wakili wake hakumpigia kura,anaawala yake C6 hakuonekana kupiga kura,watu walikuwa wanafanya campain za kufa mtu na matokeo ndio hayo.kusanya ushahid uje hapa,ama la uje ukili kama matokeo ni ya kwel na haki

angalia ktk hii comment kuna kauli cjaipenda, sema natumia cm siwez kubold. tafadhali i-edit cjaipenda hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
angalia ktk hii comment kuna kauli cjaipenda, sema natumia cm siwez kubold. tafadhali i-edit cjaipenda hata kidogo

ha,ha,ha,ha,...niambie bas nika-edit niweke neno gan?..cl unanivunja mbavu
 
Me nataka babu Asprin aniwekee picha ya huyo mshindi ili nimwone vigezo vilivyomfanya ashinde
 
wewe mwenyewe ulikuwa mshindi na ulikataa zawadi.
 
Back
Top Bottom