Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
Bila kuwachosha,nawakumbusha tu waliokua wanachuana ni charminglady v/s Remmy Kura zilizopigwa kwa ufasaha ni 10,na matokeo ni kama ifuatavyo-

(a) charminglady amepata kura 4 kati ya 10 zilizopigwa
(b) Remmy amepata kura 6 Kati ya kura 10 zilizopigwa
Nachukua nafasi hii kumtangaza rasm Remmy kuwa ndiye mshindi wa Miss chitchat kwa mwezi septembekumbuka miss chitchat wa mwezi augost tunaye miss cacico.Ahsanteni kwa ushirikiano
 
Last edited by a moderator:
Wera,weraaaaaaa,....remmy,....,remmy,.....remmy,.....remmy,.....remmy,remmy,.......remmy,......remmy....
 
hii imedhihilisha ni jinsi gani unatenda haki na hakuna upendeleo. tume zote za uchaguzi zijifunze kutoka kwako. matokeo yanaridhisha na kufurahisha. huu uchaguzi ulikuwa huru na haki. mia
 
mi nataka kujua wajaji walikuwa ni akina nani, na kama tunaruhusiwa ku appeal matokeo
 
mi nataka kujua wajaji walikuwa ni akina nani, na kama tunaruhusiwa ku appeal matokeo

kimsingi zoezi hili lilianza kwa mchakato ambao ni wa hatu na wazi,tulianza siku za nyuma member walipendekeza majina,tukaja nusu fainal membe ndio walikua majaj kwa kutua kura zao,tukaja fainal,memba wakaendelea na utaratibu uleule,mazoezi haya yote yameendeshwa waz,thread zipo waz,unaweza kuapl au vyovyote vile kama ulipiga kura,kama hukuwa mshirik ama mpiga kura nadhani utakuwa unajichosha.nimekujibu?usichoke kuhoj
 
charminglady, kama ruttashobolwa hatajitokeza uniruhusu niwe attorney wako kwa siku ya leo pro bono, haya matokeo tusiyakubali
 
Last edited by a moderator:
naungana na wewe leh ku- appeal matokeo. my lawyer ruttashobolwa uko wapi. me napinga haya matokeo!

charminglady nalijua tatizo lako,uliposhinda kwa kishindo nusu fainali ukabweteka,wenzako wakawa bize kutafuta na kuomba kura,kuna watu wameajil had kampain manager,lakini kubwa na la ajabu wewe mwenyewe hukujipigia kura fainali,ushahidi upo,thread zipo fatilia ulete jibu.kuna wakati ulipotea hewan,umekuja dakika za mwisho,had nikakuuliza ulikuwa wap?wala hata time ya kunijb hukutaka,uwongo?uwongo?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna shida kabisa, ngoja tukusanye vielelezo!

wakili mzuri ni yule anaye anzia kwenye ukweli akiwa na mteja wake,hata wewe hukumpigia kura mteja wako,ulionekana unakatiza kwenye vituo ukilalamika tu
 
ninamashaka safari unayoianzisha kuishia mwanzo wa safari. nina uhakika uchaguzi ulikuwa wa huru na haki
nafanya utafiti wangu wa kipembeni ila mpaka hapa inabidi nikubali kuwa naona kama kila kitu kilikuwa haki. naona nikibaki kumlaumu charminglady for failing to let us (her fans) know kwamba anashindana. all the same, i'll be back
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom