Mshindi wa BSS Pascal Cassian AMEFULIA MBAYA

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO
kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo wamedai kuwa dogo huyo zile pesa alizopata zimemponza coz jamaa alipotoka Dar na kuja kwao MAGU, Alifikia hoteli moja inaiTwa TINSELA HOTEL, cha ajabu Mama yake mzazi alipataka kwenda kumsalimia pale hotelini yule Mama alizuiliwa na kuambiwa hawezi kumuona Super star, kwa muda huo na ndipo mama huyo akaamua kurudi nyumbani mikono nyuma

(b) huyu dogo alipo kuja hapa magu aliingia na mkwala wa kununua Pikipiki mbili za bodaboda(SANLG),

(c)alikuwa akishinda na kuzurula kwenye Tax (ya kukodi)

(d)mkewe alikuwa amejifungua(mtoto wa kike), but alipomfata baba watoto wake Alimkana mkewe na kumtishia maisha na ndipo huyu mkewe aliamua kwenda Polis na kusababisha huyu dogo (pascal) kukamatwa na kupelekwa ktk ki2o cha polisi cha hapa Magu

(e)alikuwa akitaka kuchukua hela kwenye ATM, alikodi Tax na kwenda Mwanza mjini kutoa (na wkt hata ATM na pale Magu zipo )
>kwa wasio jua [ MAGU ipo km 60 kutoka Mwanza mjini]

(f)Alizimika kwa penzi la Dada mmoja wa saluni ya hapa MAGU
Na walikuwa wakienda Bar na huyu mdada walikuwa wakitumia mpaka LAKI MBILI (kula+ kulala) per day
kwa sasa ameuza NYUMBA yake aliyokuwa amenunua baada ya kutoka Bss (Tsh.10ml)
mpaka hii habari inaandikwa Magu hayupo ameikimbia familia yake (mkewe na mtoto),
---the mwisho-
 
Bado mshamba tu!
 
Du!
We unaonekana ni mtu wake wa karibu!
Hela za kupewa bila kufundishwa ujasiriamali hizi!...
pascal-bc.jpg
 
Usifurahi juu yake, Muombee kwa Mungu. Iko siku atasimama tena kwa maombi yenu
 
Pesa ni sabuni ya rohoooooooooooooo!
Silaha pesa kisu mzigo!!!
Chezea pesa usichezee kazii!!!!!
 
Muombee tu maisha hayana formula leo yako hivi kesho yako hivi, tuwe tunajifunza kupitia makosa tunayofanya..
 
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO
kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo wamedai kuwa dogo huyo zile pesa alizopata zimemponza coz jamaa alipotoka Dar na kuja kwao MAGU, Alifikia hoteli moja inaiTwa TINSELA HOTEL, cha ajabu Mama yake mzazi alipataka kwenda kumsalimia pale hotelini yule Mama alizuiliwa na kuambiwa hawezi kumuona Super star, kwa muda huo na ndipo mama huyo akaamua kurudi nyumbani mikono nyuma

(b) huyu dogo alipo kuja hapa magu aliingia na mkwala wa kununua Pikipiki mbili za bodaboda(SANLG),

(c)alikuwa akishinda na kuzurula kwenye Tax (ya kukodi)

(d)mkewe alikuwa amejifungua(mtoto wa kike), but alipomfata baba watoto wake Alimkana mkewe na kumtishia maisha na ndipo huyu mkewe aliamua kwenda Polis na kusababisha huyu dogo (pascal) kukamatwa na kupelekwa ktk ki2o cha polisi cha hapa Magu

(e)alikuwa akitaka kuchukua hela kwenye ATM, alikodi Tax na kwenda Mwanza mjini kutoa (na wkt hata ATM na pale Magu zipo )
>kwa wasio jua [ MAGU ipo km 60 kutoka Mwanza mjini]

(f)Alizimika kwa penzi la Dada mmoja wa saluni ya hapa MAGU
Na walikuwa wakienda Bar na huyu mdada walikuwa wakitumia mpaka LAKI MBILI (kula+ kulala) per day
kwa sasa ameuza NYUMBA yake aliyokuwa amenunua baada ya kutoka Bss (Tsh.10ml)
mpaka hii habari inaandikwa Magu hayupo ameikimbia familia yake (mkewe na mtoto),
---the mwisho-

Asante mkuu kwa kutujuza japo watu wengine hapa wameponda,kwa kweli hilo ni fundisho na ni somo kwa wale wanaolamba bingo na kuona kama ndio maisha yameanza,kwa nini huyu jamaa hakuendeleza fani yake ya muziki aingie mkataba na makampuni mbalimbali manake ushindi wake ulimtangaza ndani na nje.
Umesema alikua anakodisha taxi kutoka MAGU to Mwanza kisa ATM ambazo zipo MAGU?shule ameenda kweli huyu jamaa?
 
sasa sie tufanyaje.
OTIS

Acha hizo mtoa uzi ametupa somo tosha kwamba pesa ni maua uchanua na kunyauka ni funzo zuri tukipata pesa tujaribu kwenda hata udsm kujifunza ujasiliamali wa fedha tulizopata ona sasa jamaa alishka hela nyingi lakin sasa kashafuliaaaaa haaaaaaaaaaa amefuliaaaaaaaaaaaaaaa wanamkatili kuku iweje mimi simba eh eh nimefuliaaaaaaa masikini huwa afuliiiii nimefuliaaaaa masikini huwa afuliiiii afande seleeeeee twente parasentoooo "pascal umefuliaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa"
 
Asante mkuu kwa kutujuza japo watu wengine hapa wameponda,kwa kweli hilo ni fundisho na ni somo kwa wale wanaolamba bingo na kuona kama ndio maisha yameanza,kwa nini huyu jamaa hakuendeleza fani yake ya muziki aingie mkataba na makampuni mbalimbali manake ushindi wake ulimtangaza ndani na nje.

Ureni big up,nashangaa watu hawaoni faida ya huu uzi,jamani hili ni funzo tosha sio mkipata vimil 10 vya mkopo mnaona hela nyingi haya muoneni mwezenu alikua na pesa mingi ona sasa ameuza nyumba na accnt ina buku tatu haaaaaaa amefuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii(weka kijoti joti hapo)
 
Dah! Kimeo! Ni fundisho tosha kwa vijana wa sasa wanaochipukia kwenye haya mambo. Hela bila mipango ni kimeo, bora usiwenazo kabisa utaishi kwa amani
 
kazi wanayo. Huyu si inasemekana alikuwa mlokole? Na ikawaje asiendeleze kuimba akawa prodigal son?
 
Du!
We unaonekana ni mtu wake wa karibu!
Hela za kupewa bila kufundishwa ujasiriamali hizi!...
pascal-bc.jpg

Kweli maisha gwaride!ikiwa nyuma geuka wa mbele anakuwa wa mwisho!!!huyu dogo kuna siku alinikosha sana alipiga ngoma ya michael jackson kwa kibongo!pole sana kwake
 
huyo pasco c alikuwa muumini wa makanisa ya kisasa?.......ambayo hawafanyi mambo ya anasa, ......sasa vipi tena........?
 
Back
Top Bottom