Mshindi wa BSS Pascal Cassian AMEFULIA MBAYA

Amyner!

Hapo ndo najiuliza kweli, inakuwaje washindi wa BSS hawatoki sana kulinganisha na wale walioshindwa mapema...??

Hata hao waliopita hawana afadhali.. Bss ya kwanza Jumanne iddi ile gari alopewaa aliiuza hata miezi 8 ilikuwa haijapita.. Alipasuka vibaya,akawa ailkienda kwao kiwangwa anapiga show kiingilio jero kwa wakulima wa mananasi, akachemka akaenda kupanga chumba mbagala akawa na biashara ya kuburn cd.. Its all abt money management ni kama pesa ya jackpot bingo vile haikaagi... Ndo tabu ya pesa ya ghafla
 
Jamani watanzania tufanye kazi kwa malengo hilo ndilo la msingi. Msipendelee starehe kuliko kazi
 
mm kwa cku huwa natumia mpaka Tsh. 6000/=
(chai+lanch+dinner)
wkt mwingine inaweza ikazid mpaka 10000/=
hapo tukiwa mm na dem wangu

Kweli wewe unapenda anasa!
Mimi kwa cku mpaka 5000{chai+lanchi+dina+vocha}
 
Hapo maji ya kunywa yale ya sh 50 ya kwenye vifuko..

Usafiri unategea maguta wakati yanaenda sokoni alfajiri..yale nauli yake 100 tu au vipi!
 
Kuna nini kimetokea mkuu?
Huyo kijana alikuwa mshindi wa BSS 2009, baada ya kupewa bulungutu akamkana mkewe na mtoto, akawa anaishi kwenye mahoteli tu....Mama yake alivyoenda kumsalimia akamkana kuwa hawezi kusalimiana na star....hivyo mama yake akarudi bila kumwona mwanae wakati yupo ndani na watoto wakali akila Bata.

Hivyo dogo alikana kuanzia Mama yake, mkewe na mtoto hadi kaka zake.

Ndio huyo kwenye baiskeli ya matairi mawili alipata ajali ya gari, mpaka sasa amefanyiwa operation zaidi ya mbili lakini hakuna mafanikio.... hajiwezi.

Soma uzi wote utaelewa!
 
Mmhh alikana mpaka wazazi?????
 
Hiyo ‘the mwisho ‘
Hahahaha
 
Huyo kijana alikuwa mshindi wa BSS 2009, baada ya kupewa bulungutu akamkana mkewe na mtoto, akawa anaishi kwenye mahoteli tu....Mama yake alivyoenda kumsalimia akamkana kuwa hawezi kusalimiana na star....hivyo mama yake akarudi bila kumwona mwanae wakati yupo ndani na watoto wakali akila Bata.

Hivyo dogo alikana kuanzia Mama yake, mkewe na mtoto hadi kaka zake.

Ndio huyo kwenye baiskeli ya matairi mawili alipata ajali ya gari, mpaka sasa amefanyiwa operation zaidi ya mbili lakini hakuna mafanikio.... hajiwezi.

Soma uzi wote utaelewa!
Wasukuma akili zao wanazijua wenyewe
 
Ukimkana hata kaka au dada yako wa damu lazima ulaanike
 
Hii stori ya huyu jamaa inafanana na jamaa walie uza nyumba ya urithi kule morogoro, jamaa alikua ana kodi tex hata kwenda umbali wa mita 50!

Mwisho akaona maisha ya morogoro hayana vibe akahamia dar!

Haikuisha miezi mitatu tukaambiwa alifariki na kuzikwa na jiji baada ya kutopatika kwa ndugu zake.

Maisha yana tafakarisha sana.
 
Back
Top Bottom