Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

Pole ndio maisha

Hata wewe kuna tabia unazoachana nazo. Unapojiuliza kama mgonjwa au walipima je wewe ulipima baada na kukuta unao? Pia unaonekana umepata ka wivu fulani kwa kukumbuka mchezo. Na unyamaze usianze kusumulia watu juu ya hilo tukio. Ila wakisoma humu watajua nini kilijili ungenyamaza tu umeandika mengi na sahau urafiki akijisoma humu. Katafute mke wako uoe.

Waombee waishi maisha mema ya ndoa

kwa hii post yako sina haja ya kuchangia wala kuendelea kusoma wacha nikapumzike.
 
Nilichogundua mwisho wa andiko lake ni kuwa jamaa hajashangaa kivile kwa rafikie kuoa dada powa, ila anasikitika kwa jamaa kuchukua utamu ule jumla akafaidi mwenyewe, na sio yeye tu yamemkuta hayo, ni wote walowahi kutembea na huyo changu na wakaona maujuzi na maufundi ya huyo changu nao pia wanasikitika.

Unajua kwanini machangu wengi wanabakia kuwa machangu maisha yao yote pamoja na maufundi yao? ni kuwa wateja wao wengi ni waume wa watu, wanakwenda huko kwa ajili ya kupoza mtima tu sio zaidi. ni vijana wachache sana wanao penda kwenda kwa hawa wadada powa, vijana wengi wanachukua watoto wa shule na wasichana wa mtaa ambao pia nao wanajiuza lakini hawako sokoni na wengi wa wasichana hawa ujuzi ni mdogo sana. Nakwambia asilani kuwa kijana hajaoa asithubutu kuchukua hawa dada powa kwamaana utakachokipata asilani utatangaza ndoa tu.

Hawa dada powa wengi wanatumia ujuzi wa hali ya juu sana katika shughuli zao ili mteja arudi tena na tena, sasa ukute kijana ndo mgeni kwenye gemu na amezoea kula visichana vya ofisini kwao ambavo havina ujuzi wowote, dada powa akampa gemu la kufa mtu, kijana wa kiume anasikia raha mpaka analia kama mtoto mdogo kachapwa na baada ya gemu unaomba namba ya simu, na dada powa akigundua kakuzingua, siku ya rudio la pambano ndo anaua kabisa, kijana unatangaza ndoa bwana, unaona ngoja umiliki huo utamu kabisa kuliko kuununua rejareja.

Sio kila dada powa anafanya kazi ile kwaajili ya tabia, wengine wanafanya kwasababu ya shida za kimaisha, lakini moyoni hawaridhii kabisa wakifanyacho, mara nyingi hawa wakipata mahali pa uhakika pa kupumzikia huwa wanaacha kabisa na kusahau yalopita.

Couldn't have said it better.
 
Intelijensia yangu inaonesha utamtindua huyu mke wa mshikaji
 
Kwani kahaba haolewi mkuu???
Mwenzenu kanunua jumla sioni tatizo
 
Mmmh roho inakuuma ukifikiria zile raha na yale maujuz pale kati.. hahahaa tafuta wako pia, unaweza ukabahatika
 
Inawezekana kutulia kwani maisha huwa ni maamuzi ya mtu, inatakiwa umuheshimu kama Shemeji yko.. Mwanzako kaamua kusogeza utamu nyumban
 
KIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI, don't underestimate wahenga's wisdom.
 
Nimeshtuka kugundua kuwa Rafiki ya wakaribu amefunga ndoa na dada poa mmoja tuliekua tumezoea kumnunua kwa nyakati tofauti, huyu jamaa alikua workmate wangu na tulishibana sana, tulipenda sana kwenda temeke kunywa baada ya kazi baa moja maarufu sana kwa madada poa.

Sasa kuna Dada poa mmoja mzuri sana, ameumbika, ni mweupee kama Mwarabu na dizaini kama ana umanga flan hivi kwa mbali, yeye alikua akimchukua leo, mimi namchukua kesho, hii ni kutokana na viwango vya juu mno alivyovionesha binti huyo (nakiri sijawahi kuviona kwingine)

Baadae nikahamishiwa mkoani, Mshikaji akabaki head office, cha ajabu huyu ndugu alinikatia mawasiliano, akaanza kunipotezea, nikawa hadi nimtafute mimi, baadae nikachoka kujipendekeza tukapotezeana, na baadae nikasiki amepata kazi kwingine.

Imepita karibu miaka minne sasa, juzi nimekuja dar kwa siku chache, nikiwa head office mmoja wetu akasema jamani wenye nafasi tukamuone T mwanae alilazwa wiki nzima ndio wametoka Jana, tukakubaliana twende jioni, huku rohoni nikisema kumbe kuna wenzangu bado wanamawasiliano nae!!!

Kuingia ndani kwa Mshikaji jamaa alishtuka kweli hakujua kama nipo kwenye huo msafara, ghafla mkewe anakuja ukumbini na mtoto wa miaka 3 kasoro, nilipigwa na butwaa kuona mke mwenyewe ndio yule dada wa temeke tuliekua tunamnunua kwa kupokezana, yeye mwenyewe alishtuka mno, baada ya salaam alirudi chumbani na hakutoka tena.

Kesho yake, Saturday Mshikaji akanitafuta na kuniomba msamaha kwa kunipotezea, akasema alishindwa ataniambia nn baada kumuoa yule demu, hivyo akaona awe ananikwepa na kubadili namba.

Akanieleza amemuoa kwa ndoa kabisa ya kidini, na kwamba kwa miaka yote minne demu ametulia hajawahi kumsumbua, na Duka nililoliona pale mbele alimfungulia yeye ndio biashara yake, kwa kweli uchu uliniingia sana nikimkumbuka yule dada.

Kumbe dada poa anaweza kabisa kuacha hiyo kazi na kubadilika? Na kuwa mke? Hata hivyo nimeshangaa kwa jamaa ku take risk kama hiyo
na sijui hata kama walipima au walioana tu.

Wewe mwenyewe umeshampitia huyo dada, je umepima? Dada poa wengi wanafanya kwa sababu ya dhiki tu. Na wengine wametoka katika familia zilizowalea katika maadili mema kabisa. Ila kutokana na misuko suko ya maisha wanajikuta wanaishia kujiuza.
 
Kama jambazi sugu anaacha Ujambazi,
Mchawi anaacha uchawi,
Kwanini Changudoa asiache uchangudoa???

ONYO:
Usimtamani mke wa mwenzio.
 
Back
Top Bottom