Mshaurini huyu superstar

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
619
206
Jamani naomba ushauri napenda sana kuwa superstar sema shida ni kwamba sina kipaji chochote afu pia siasa sipendi.naomba ushauri kama kuna njia nyingine za kuwa star ukiachana na hizo
 
Kuwa mwanaharakati
Piga picha ama igiza muvi ya ngono
Kama uko shule andika matusi kwenye necta
Jaribu kwenda kumhonga mwnykt wa kamati yoyote ya bunge
Sema wewe ni mdogo/kaka/dada wa msanii diamond afu nenda kwa shigongo na ukomae kabisa hata kama diamond akikanusha(sema mmeshare baba ila mama tofauti-mama yako yuko kijijini)
 
mwanaharakati ina sound good sema sasa kitengo gani
 
kama upo dar nakushauri tembea uchi mjini cku moja tu yatosha ww kuwa supastar
 
sijakusoma kuanzia kwenye heading... "Mshaurini huyu nani??"
 
nenda kwenye madia na mitandao ya kijamii katangaze wew ni mtoto wa mr dhaifu, na alivyo hakuna atakayebisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom