Mshauri simu ya kununua bajeti yake tsh350,000

Mshauri simu ya kununua bajeti yake tsh350,000

Kwa kurejea kichwa cha habari nifanyie hitimisho kwa upande wako dedicate simu 3 za kununua kwa bajeti hiyo au ikizidi isifike laki 4.
1. Ya kuagizia nje xiaomi redmi note 8

2. Huawei zinapatikana kirahisi Tanzania Y9 2019 ama y7p ni nzuri pia, Y9 nzuri zaidi aangalie hii kwanza.

3. Option ya rahisi kuipata ni Samsung Galaxy A20 kwa hio budget.
 
Mkuu chief mkwawa samahani nipo njee ya mada kidogo nisaidie kwa hili Kati Samsung a51 na Samsung m31 ipi Ni nzuri zaidi
 
Mkuu redmi note 8 na redmi 8 japo majina yamafanana ila ni simu 2 tofauti kabisa, baadhi ya utofauti wake ni huu.

1. Kwenye display ya simu note 8 ina kioo full HD wakati redmi 8 yenyewe ni HD ya kawaida. Kama utatumia redmi 8 utaona display yake ina kama ukijivu fulani.

2. Processor ya redmi note 8 ina core 4 zenye nguvu na core 4 zisizo na nguvu zinazotunza chaji, redmi 8 yenyewe ina core 8 zisizo na nguvu zinazotunza chaji, hivyo kwenye kurun magame makubwa ama apps nzito note 8 ipo vizuri.

3. Sababu soc (processor) ya note 8 ni nzuri vitu kama camera, wifi, speed ya internet etc itakuwa vizuri kwenye note 8.

Kitu ambacho redmi 8 ipo vizuri kuliko note 8 ni ukaaji chaji, zote 2 zinakaa sana na chaji ila redmi 8 ni zaidi.

Na hio redmi 8 sio simu mbaya ila inamake sense ukiinunua chini ya laki 3, around 250,000 inapendeza zaidi.

Kuna watu wanabambikiwa hizo redmi 8 kwa bei ya note 8 sababu wateja wanashindwa kutofautisha majina.
Nashukuru sana kwa maelezo ya kina Chief-Mkwawa. Ubarikiwe.
 
kwa 350k kama anataka mpya kabisa,
Atapata A30 kurudi nyuma kwa samsung, J7 pro/prime, J6+
Nokia 6.1, Nokia 5.1 plus, vivo Y12, Oppo A5s, oppo A 12, infinix hot 9, na nyingine nyingi..

Note : bei zinacheza kati ya 300k-400k,
Huwezi pata new Samsung Galaxy A30s kwa 350k labda iwe used
 
kwa 350k kama anataka mpya kabisa,
Atapata A30 kurudi nyuma kwa samsung, J7 pro/prime, J6+
Nokia 6.1, Nokia 5.1 plus, vivo Y12, Oppo A5s, oppo A 12, infinix hot 9, na nyingine nyingi..

Note : bei zinacheza kati ya 300k-400k,
Mkuu nahitaji kununua Redmi n7 vipi bei yake imekaaje.
 
Back
Top Bottom