Mshauri simu ya kununua bajeti yake tsh350,000

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,413
Husika na mada tajwa hapo juu. Rafiki yangu kaniulizia bei ya Iphone 6 plus, nkamwambia itakuwa around laki 5 ila ni vigumu kupata OG kwa kuwa ni simu ya zamani, saiv kuna simu nyingi za kisasa anipe bajeti yake nimfanyie research (huku nikijua nazama kwa wataalamu wangu jf fasta [emoji38]).
Akanijibu 350k, hivyo naombeni mwongozo wenu wataalam wangu
Natanguliza shukrani.
 
Hakuna iPhone fake..

iPhone lazima uwe na iOs..zile simu zenye muonekano wa iPhone na zina android huwezi kusema ni iphone fake..

"Huwezi kupata OG" una maanisha nini?
Ndo unipe somo sasa mkuu nashukuru kwa mchango wako pia.
 
Ilibidi useme iPhone utazipata lakini sio mpya(second hand or refurbished)...na sio kusema sio OG
Nmekupata kiongozi, na hapo nlipomwamisha kwenye iphone kwenda android nmekosea? Nmezngatia bajet alontajia.
Sina uzoefu na iphone, natumia Samsung tangu nianze kumiliki simu.
 
Hujakosea..subiri wataalamu waje wakushauri zaidi
 
kwa 350k kama anataka mpya kabisa,
Atapata A30 kurudi nyuma kwa samsung, J7 pro/prime, J6+
Nokia 6.1, Nokia 5.1 plus, vivo Y12, Oppo A5s, oppo A 12, infinix hot 9, na nyingine nyingi..

Note : bei zinacheza kati ya 300k-400k,
 
kwa 350k kama anataka mpya kabisa,
Atapata A30 kurudi nyuma kwa samsung, J7 pro/prime, J6+
Nokia 6.1, Nokia 5.1 plus, vivo Y12, Oppo A5s, infinix hot 9, na nyingine nyingi..

Note : bei zinacheza kati ya 300k-400k,
[emoji120][emoji120][emoji120]
Unaweza kusema neno kwa Xiaomi mkuu?
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Unaweza kusema neno kwa Xiaomi mkuu?
Hapo reyzzap amekupa machaguo yaliyo rahisi kupata. Kama hiyo samsung A30 ni nzuri sana ila inaweza kuzidi hiyo 350K.

Kwa 350K unaweza kupata A20, A20S kwa samsung, na nokia 3.1 ila nokia 5.1 itazidi kidogo.

Xiaomi ziko poa lakini kwa hapa bongo bei zitakuwa kubwa au utapata specs za chini, kinyume na hapo uagize na kusubiria hadi zaidi ya miezi 2.

From JF App
 
Yap, Mimi mara nyingi sinunui simu mpya sealed, maana unatoa hela kubwa, lakin spcs za kawaida..
Kinyume na hapo naagiza nje.
 
Husika na mada tajwa hapo juu. Rafiki yangu kaniulizia bei ya Iphone 6 plus, nkamwambia itakuwa around laki 5 ila ni vigumu kupata OG kwa kuwa ni simu ya zamani, saiv kuna simu nyingi za kisasa anipe bajeti yake nimfanyie research (huku nikijua nazama kwa wataalamu wangu jf fasta [emoji38]).
Akanijibu 350k, hivyo naombeni msaada wenu wataalam wangu
Natanguliza shukrani.
Kama ana access ya kutumiwa simu toka kenya kwa around 348k anapata xiaomi redmi note 8 ver ya 3gb/32gb

Redmi Note 8, 6.3 Inch, FHD 3GB+32GB, 48MP, 4G - Black

Kwa samsung zote chini ya A50 series hii ni simu nzuri zaidi,

Redmi note 8 na sio redmi 8.
 
Hapo reyzzap amekupa machaguo yaliyo rahisi kupata. Kama hiyo samsung A30 ni nzuri sana ila inaweza kuzidi hiyo 350K.

Kwa 350K unaweza kupata A20, A20S kwa samsung, na nokia 3.1 ila nokia 5.1 itazidi kidogo.

Xiaomi ziko poa lakini kwa hapa bongo bei zitakuwa kubwa au utapata specs za chini, kinyume na hapo uagize na kusubiria hadi zaidi ya miezi 2.

From JF App

Kuagiza miezi miwili wapi hii!?
 
Kwanini Chief-Mkwawa: umependekeza redmi note 8 na sio redmi 8?
Mkuu redmi note 8 na redmi 8 japo majina yamafanana ila ni simu 2 tofauti kabisa, baadhi ya utofauti wake ni huu.

1. Kwenye display ya simu note 8 ina kioo full HD wakati redmi 8 yenyewe ni HD ya kawaida. Kama utatumia redmi 8 utaona display yake ina kama ukijivu fulani.

2. Processor ya redmi note 8 ina core 4 zenye nguvu na core 4 zisizo na nguvu zinazotunza chaji, redmi 8 yenyewe ina core 8 zisizo na nguvu zinazotunza chaji, hivyo kwenye kurun magame makubwa ama apps nzito note 8 ipo vizuri.

3. Sababu soc (processor) ya note 8 ni nzuri vitu kama camera, wifi, speed ya internet etc itakuwa vizuri kwenye note 8.

Kitu ambacho redmi 8 ipo vizuri kuliko note 8 ni ukaaji chaji, zote 2 zinakaa sana na chaji ila redmi 8 ni zaidi.

Na hio redmi 8 sio simu mbaya ila inamake sense ukiinunua chini ya laki 3, around 250,000 inapendeza zaidi.

Kuna watu wanabambikiwa hizo redmi 8 kwa bei ya note 8 sababu wateja wanashindwa kutofautisha majina.
 
Kwa kurejea kichwa cha habari nifanyie hitimisho kwa upande wako dedicate simu 3 za kununua kwa bajeti hiyo au ikizidi isifike laki 4.
 
Back
Top Bottom