Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,071
Wanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa kutongoza mwanaume? Kwamba huyu mwanamke alisubiri kutongozwa na mimi baada ya kuniona simtongozi ndipo akaamua kunichana live? Nimeshindwa kuelewa Aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa kutongoza mwanaume? Kwamba huyu mwanamke alisubiri kutongozwa na mimi baada ya kuniona simtongozi ndipo akaamua kunichana live? Nimeshindwa kuelewa Aisee