Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Jamani tarehe zetu ndio hizi ....
Wewe lazima utakuwa mwalimu, vipi lakin unatrekeleza jukumu lako la kufundisha watoto wetu kikamilifu?? Sio kuandalia tu na kuazimi halafu darasan unaingia ukijisikia halafu speed 240 kmph kuja kudai mshahara huku .
 
d5fe82b7dda0743243695a330407b47e.jpg
 
Ni vema kujiongezea kipato kingine mkuu, usitegemee mshahara sana, ugumu wa maisha hautaisha kwako
 
Wewe lazima utakuwa mwalimu, vipi lakin unatrekeleza jukumu lako la kufundisha watoto wetu kikamilifu?? Sio kuandalia tu na kuazimi halafu darasan unaingia ukijisikia halafu speed 240 kmph kuja kudai mshahara huku .
Kwani kuna ubaya mtu kudai haki yake? Wewe ni nani hadi ukahoji majukumu yake? Je wewe ni muajiri? Walio muajiri wanajua utendaji wake ndio maana wakamkabidhi majukumu, acha kihele hele
 
Jpm mbona huu ni ubaba ishaji mzee ulituzoeza 22/ leo vp mana ukitupitiliza unatuumiza mzee
 
Back
Top Bottom