Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

kwangu mshahara ukichelewa namna hii hata ukitoka sinaga hamu nao maana kihehere chote kinakuwa kmeisha
 
Maafande jana walicheka, source ni nyumba ndogo yangu ni njagu!
 
Subiri watumishi feki watolewe na vyeti hewa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakuu matumaini yapo... Imethibitishwa watumishi sekta ya ulinzi wamelipwa jana..
 
kafe uko boya ww mtegemea mshahara....
Bora mie nafanya kazi na nakula mshahara na pia ni mjasiriamali,sema humu tunatumia id feki unaweza ukute wewe ni mlisha ng'ombe hapa kwangu niliyekulipa jana 70000 umegongea cm kwa kwa binti wa kazi umemunua mb 70 kwa 500 voda leo unaponda wanaotegemea mshahara
 
Tatizo hata kusoma hujui,ulikimbia shule,MAKU WEWE
Jina lako lenyewe umeabdika kwa herufi ndogo hujui maana ya nomino na kivumishi? Unafikiri wewe unajua kuhesabu, kusoma na kuandika mkuu? (Hata 3K's) zinakushindaa, pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom